MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Sipo hapa kubishana.Augustine Lyatonga Mrema na Maalim Seif Sharif Hamad watakuwa sio 'WATU'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo hapa kubishana.Augustine Lyatonga Mrema na Maalim Seif Sharif Hamad watakuwa sio 'WATU'
kubishana ni option ila kurekebishwa sio optionSipo hapa kubishana.
Tushawahi cheza mpira wa miguu team magu vs team lowasa 2015 nilikua team lowasaHabari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Katika mwaka enzi za uhai wake Mzee alipata kuwa na ushawishi Mkubwa nchini kiwango cha kuweza kujaza mikutano katika Uchaguzi wa Urais mwaka 2015.
Binafsi ntamkumbuka sana kwa uthubutu wake wa kuweza kujiuzulu nafasi ya Uwaziri Mkuu alipohusishwa na tuhuma za ufisadi.
Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
WAZIRI MKUU MSTAAFU WA TANZANIA 🇹🇿.Habari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Breaking News: - Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Wewe utamkumbuka Lowassa kwa mambo gani?
Alistaafu au alijiuzuru?WAZIRI MKUU MSTAAFU WA TANZANIA [emoji1241].
Very interesting. Lini ulihamia kwa Magufuli?Hatotokea kiongozi yeyote tanzania akaachia nafasi kubwa kama hiyo kama lowasa alivyo fanya.
Aliwajibika kwa makosa ambayo hakufanya alionesha usomi na uelewa wa kiwango cha juu.
Nilimpigia kampeni ati nilitembea kata zote 19 kwa miguu kuwaelimisha wananchi kuhusu kwa nini aliachia cheo cha waziri mkuu.
Nyie zile pilikapilika za 2015 sio za kusahau.
1.Team lowassa
2. Team ulipo tupo
Lowassaaaaaaaa mabadiliko, mabadilikooooooooooooo lowasa.
Roho nyeupe, ngozi nyeupe, nywele nyeupe mapema asubuhi mpaka Ikulu.🤣
Bibi yangu mimi ilikuwa ni lazima apige kura sasa yeye alicho kuwa akijua ni ccm na nyerere,
Bibi yeye anasema atampigia kura wa chama cha nyerere, sasa tukachukuwa picha ya lowasa tukamuekeza kuwa lowasa ni mtoto wa nyerere, alivyoona zile nywele nyeupe akase, maaaaaaaawe anamfanana baba yake nyerere ona hizo nywele kweli nampigia kura🤣
Siku ya kupiga kura mapema vijana walishamfata na pikipiki mpaka kituo cha kupigia kura, si hajui kusoma, alivyouliza bibi unampigia kura nani akasema wa chama cha nyerere🤣
Wakamuuliza unamjua picha yake? , si alisha oneshwa picha ya lowasa na nywele zake akawaonesha huyu hapa mwenye nywele nyeupe🤣 imeisha hiyo.
RIP BIBI YANGU
RIP LOWASSA
Baada ya kujiuzuru, ndiyo akawa MSTAAFU au tutasemaje kwa KISWAHILI FASAHA.
Hujui maana ya kustaafu weweBaada ya kujiuzuru, ndiyo akawa MSTAAFU au tutasemaje kwa KISWAHILI FASAHA.
Kiukweli Lowassa alikuwa kiongozi aliyeandaliwa kama alivyosema RyobaHatotokea kiongozi yeyote tanzania akaachia nafasi kubwa kama hiyo kama lowasa alivyo fanya.
Aliwajibika kwa makosa ambayo hakufanya alionesha usomi na uelewa wa kiwango cha juu.
Nilimpigia kampeni ati nilitembea kata zote 19 kwa miguu kuwaelimisha wananchi kuhusu kwa nini aliachia cheo cha waziri mkuu.
Nyie zile pilikapilika za 2015 sio za kusahau.
1.Team lowassa
2. Team ulipo tupo
Lowassaaaaaaaa mabadiliko, mabadilikooooooooooooo lowasa.
Roho nyeupe, ngozi nyeupe, nywele nyeupe mapema asubuhi mpaka Ikulu.[emoji1787]
Bibi yangu mimi ilikuwa ni lazima apige kura sasa yeye alicho kuwa akijua ni ccm na nyerere,
Bibi yeye anasema atampigia kura wa chama cha nyerere, sasa tukachukuwa picha ya lowasa tukamuekeza kuwa lowasa ni mtoto wa nyerere, alivyoona zile nywele nyeupe akase, maaaaaaaawe anamfanana baba yake nyerere ona hizo nywele kweli nampigia kura[emoji1787]
Siku ya kupiga kura mapema vijana walishamfata na pikipiki mpaka kituo cha kupigia kura, si hajui kusoma, alivyouliza bibi unampigia kura nani akasema wa chama cha nyerere[emoji1787]
Wakamuuliza unamjua picha yake? , si alisha oneshwa picha ya lowasa na nywele zake akawaonesha huyu hapa mwenye nywele nyeupe[emoji1787] imeisha hiyo.
RIP BIBI YANGU
RIP LOWASSA
Aliacha kwasababu hakuna anachopoteza wadhifa wa waziri mkuu mstaafu kuhudumiwa hadi mwisho uko palepale na pesa kapigaHatotokea kiongozi yeyote tanzania akaachia nafasi kubwa kama hiyo kama lowasa alivyo fanya.
Aliwajibika kwa makosa ambayo hakufanya alionesha usomi na uelewa wa kiwango cha juu.
Nilimpigia kampeni ati nilitembea kata zote 19 kwa miguu kuwaelimisha wananchi kuhusu kwa nini aliachia cheo cha waziri mkuu.
Nyie zile pilikapilika za 2015 sio za kusahau.
1.Team lowassa
2. Team ulipo tupo
Lowassaaaaaaaa mabadiliko, mabadilikooooooooooooo lowasa.
Roho nyeupe, ngozi nyeupe, nywele nyeupe mapema asubuhi mpaka Ikulu.🤣
Bibi yangu mimi ilikuwa ni lazima apige kura sasa yeye alicho kuwa akijua ni ccm na nyerere,
Bibi yeye anasema atampigia kura wa chama cha nyerere, sasa tukachukuwa picha ya lowasa tukamuekeza kuwa lowasa ni mtoto wa nyerere, alivyoona zile nywele nyeupe akase, maaaaaaaawe anamfanana baba yake nyerere ona hizo nywele kweli nampigia kura🤣
Siku ya kupiga kura mapema vijana walishamfata na pikipiki mpaka kituo cha kupigia kura, si hajui kusoma, alivyouliza bibi unampigia kura nani akasema wa chama cha nyerere🤣
Wakamuuliza unamjua picha yake? , si alisha oneshwa picha ya lowasa na nywele zake akawaonesha huyu hapa mwenye nywele nyeupe🤣 imeisha hiyo.
RIP BIBI YANGU
RIP LOWASSA
KabisaKiukweli Lowassa alikuwa kiongozi aliyeandaliwa kama alivyosema Ryoba