White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Namshauri aendelee tu,sasa hao mademu asipowahudumia sisi tunaowagonga..........ndio tuanze kuwahudumia?Wewe ni kaka au dada una mtoto wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
Kuna jamaa yangu yupo ivyo niliwai mgusia kidogo tu alinijibu kuwa malezi yangu na yako tofauti ulivyo lelewa wewe na mm tofauti huwezi ni badirisha fanya yakoHuwezi kumbadili mtu kitabia kama yeye mwenyewe hayupo tayari kubadilika,
Fanya yako.
Fainali uzeeni ,atumie vitu vibaya vibaya Kwa Sasa huko baadae ataisoma nambaWewe ni kaka au dada una mtoto wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
Tena siku hizi wana msemo wao,Kuna jamaa yangu yupo ivyo niliwai mgusia kidogo tu alinijibu kuwa malezi yangu na yako tofauti ulivyo lelewa wewe na mm tofauti huwezi ni badirisha fanya yako
Up now namuangaliaga tu
Acha tu ila jamaa anajiona bado mtotoTena siku hizi wana msemo wao,
Wanasema;
''Punguza ushauri,watu wana mipango yao''
Wewe ni kaka au dada una mtoto wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
Hahaha kwahyo mkuu dogo aendelee kuhudumia then ninyi mnawagongaNamshauri aendelee tu,sasa hao mademu asipowahudumia sisi tunaowagonga..........ndio tuanze kuwahudumia?
Yes,ndio game ilivo......Ma-SIMP wanaprovide,players wanagawa mashineHahaha kwahyo mkuu dogo aendelee kuhudumia then ninyi mnawagonga
Wew ndio wakusema ivyoAcha dogo ale maisha