Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Maisha mafupi hayaWewe ni kaka au dada una mtoto wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha