Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Nchi iliomba uhuru ili kila mtu afanye mambo yake kwa uhuruSawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi iliomba uhuru ili kila mtu afanye mambo yake kwa uhuruSawa mkuu
Sawa lakini uhuru usivuke mipaka kuhatarisha usalama wa mtu kiuchumi, kihisia nkNchi iliomba uhuru ili kila mtu afanye mambo yake kwa uhuru
Watoto wa 2000 wanakamia mkuu kimoko ni udhaifu kwaoMshauri tu azingatie kinga au awe wa dali kimoko cha kiboss
Ni sahihi mkuuHuwa nikipata wasaa wa kuongea na vijana wanaochipukia huwa nawaambia wawekeze sana kwa ajili ya kesho yao na wasitumie hisia kufanya maamuzi yanayohitaji akili.
Huwa napenda kukumbushia pia kuwa hawanaga huruma.
Nani sasa apige puli mkuu?Piga puli.
MwanaumeNani sasa apige puli mkuu?
Punguza ushauri,watu wana mipango yao''
Na ma UTI sugu pia mkuuNitamwambia saiv kuna magono sugu atumie zana
Haha hapana mkuu huo si ushauri mzuri
Sahihi lakini hawaambiliki mpaka yawakute. Unakuta dogo ndio kwanza anaitafuta 20 alafu anawaza upupu mwingi, nashukuru Mungu jf ilinifanya nikayajua mengi mapema sana.Ni sahihi mkuu
Kwa kweli mkuu tulioingia JF mapema imetusaidia sana hawa vijana wa sasa ig na tiktok zinawaharibuSahihi lakini hawaambiliki mpaka yawakute. Unakuta dogo ndio kwanza anaitafuta 20 alafu anawaza upupu mwingi, nashukuru Mungu jf ilinifanya nikayajua mengi mapema sana.
Kuna magonjwa mkuu mwishobwa siku atatusumbuaNITAMWAMBIA AWAPELEKEE MOTO. PESA ZAKE ZISIENDE BULE 🤣🤣🤣
Kwahiyo unashauri tumuache kwa saaa mkuuAkikua ataacha