Utamshauri nini mdogo wako wa kiume anaetumia pesa nyingi ku spend na madem

Tatizo mambo yanabadilika mkuu leo anazo ana spend ikifika wakati zimekata na yeye tayari ni mgonja atageukia kwa ndugu kuhitaji msaada
Kwanini unawaza hayo?

Yote yanawezekana, anaweza bakia hivyo akabaki na hela zake wewe ndio ukawa mgonjwa ukahitaji msaada wake!

Acheni kuwaza mabaya kwa wenzenu. ISHI MAISHA YAKO!!
 
Muacheni huko hospital kwan shingapi
Inakeraga sana aisee,unapomuuguza mtu ambaye chanzo cha tatizo lake unajua kabisa ni sababu alikuwa mtu wa starehe sana.ikiwemo Ulevi na Umalaya.Nawaoneaga huruma sana wanawake jamaa anakuwa mtu wa kutelekeza familia kwa sababu ya ulimbukeni wa nyumba ndogo na starehe halafu akipata tatizo ambalo linahitaji msaada anafukuzwa nyumba ndogo na kurudi kuugulia kwa mke wake wa awali.Halafu unakuta kipato kimekata na matibabu yanahitaji hela nyingi.Mnaanza kusumbuliwa ndugu.
 
Huyoo hajielewiiii
 
Kwanini unawaza hayo?

Yote yanawezekana, anaweza bakia hivyo akabaki na hela zake wewe ndio ukawa mgonjwa ukahitaji msaada wake!

Acheni kuwaza mabaya kwa
Dah una hoja mkuu lakini napata wakati mgumu kuikubali maana dunia ya sasa ukiendekeza hayo matokeo yake ni mabaya
 
Wewe ni kaka au dada una mtoto wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
Mtu yeyote aliebobea ktk idara hii hua hashauriki

Uachie ulimwengu tafadhari utampa darasa kamili
 
Back
Top Bottom