Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Awasumbue kwa lipi?Ni kweli utamfundisha lakini hofu yangu ni kuja kusumbua ndugu baadae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awasumbue kwa lipi?Ni kweli utamfundisha lakini hofu yangu ni kuja kusumbua ndugu baadae
Apo ndo shidaSema sasa wakati huo ulimwengu unatoa darasa, anakua keshageuka mzigo kwa familia
Sawa mkuuMaisha ni yake wewe shughulika na yako Mkuu
Sana unakuta kijana muda mwingi ni video call na malaya wa tiktokKwa kweli mkuu tulioingia JF mapema imetusaidia sana hawa vijana wa sasa ig na tiktok zinawaharibu
1. Ponda Mali kufa kwajaWewe ni kaka au dada una mdogo wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuachaView attachment 3160663View attachment 3160662
Yaani hadi unamuonea huruma ila ndo hvyo huna cha kumfanyaSana unakuta kijana muda mwingi ni video call na malaya wa tiktok
Mkuu ndo ushauri wako huu?1. Ponda Mali kufa kwaja
2. Tupatupa kupata kuna Mungu
Muda na dunia itamueleweshaYaani hadi unamuonea huruma ila ndo hvyo huna cha kumfanya
Hakika mkuuMuda na dunia itamuelewesha
Linatoka kwa nini mkuu?Ulevi na uzinzi ni pepo , pepo halitoki kwa ushauri
Kulichoma motoLinatoka kwa nini mkuu?
Dah mkuu hiyo ni hatariKulichoma moto
Ikiwa kiasi ni sawa lakini isivuke mipaka mkuuHangaika kiasi
Ishi kiasi
Starehe kiasi
NB. Starehe sio anasa.
Basi liacheDah mkuu hiyo ni hatari