Utamshauri nini mdogo wako wa kiume anaetumia pesa nyingi ku spend na madem

Utamshauri nini mdogo wako wa kiume anaetumia pesa nyingi ku spend na madem

Wewe ni kaka au dada una mtoto wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
Asije akatusumbua baadaye! akishaanza kukohoa kohoa.hatuta omba ruhusa ya kazini kwetu kuja kumsindiza hospital.
 
Hizo hela unamsaidia kutafuta?

Mwenye hela hana uchungu kuzitumia wewe usiyezitafuta unaumia
 
Hizo hela unamsaidia kutafuta?

Mwenye hela hana uchungu kuzitumia wewe usiyezitafuta unaumia
Tatizo mambo yanabadilika mkuu leo anazo ana spend ikifika wakati zimekata na yeye tayari ni mgonja atageukia kwa ndugu kuhitaji msaada
 
Back
Top Bottom