Utamtambuaje mtu mshamba ( mpori mpori) Kwa matendo

Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba
Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori

1. Kuvaa Yebo na soksi
Hapa usiulize sana

2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata kama anaijua
Kuna mtu ni msukuma anasalimiwa mwadila akiwa Dar anajibu salama jua huyu jamaa ni shamba

3. Kusifia ngono na pombe
Mtu mshamba Huwa anaona fahari kusema yeye ni mtaalamu wa ngono.

4. Kuvaa modo
Yaani suruali ya kubana
Kidume kuvaa suruali imebana mapaja ni ushamba namba 1

5 kuvaa Tshirts mbili
Yaani mikono mirefu ndani na mikono nje

6. Kuitazama clip za video tik tok hadharani
Upo kwenye daladala mrembo atoe simu aanze kuitazama vi clip vya kitoto huko mtandaoni
Huyo ni mshamba

7. Kutumia simu za itel, Infinix na Tecno
Simu zote zilizo duniani na za bei nafuu ndo tukutane na mtu ana aina ya simu hizo usijiulize sana huyo ni mshamba tu

8. Kuhofia kula
Mtu anakaribishwa msosi anakula kama mtoto anabakiza msosi wote, huu ni ushamba

9. Kutokuheshimu taratibu
Watu wapo foleni labda benki jitu lenyewe linajipa ubora liwe la kwanza hilo lishamba

10. Kuamini Mungu hayupo
Mtu mshamba unapumua Kwa Rehema za Mungu halafu unajawa kibri unasema Mungu hayupo hakika wewe ni hayawani na mshamba mkubwa

Taja matendo ya kishamba
11.kuacha kuingia kwenye jukwaa la michezo kisa yanga imefungwa

huo niushamba na football huijui kashabikie rede
 
Professor mmoja kwenye chuo cha Oxford Uingerenza mtaalamu wa microbiology hajui kama Mungu yupo nae mshamba mjanja wewe
 
Wewe ujanja wako umekusaidia nn mpaka sasa
 
Back
Top Bottom