Utamtambuaje mtu mshamba ( mpori mpori) Kwa matendo

Utamtambuaje mtu mshamba ( mpori mpori) Kwa matendo

Ushamba ni ile hali ya kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida tu,ila na wewe ukilizowea basi ule ushamba wako unakua umeishia hapo,

So,kila mtu anaweza kua mshamba kutokana na mazingira husika aliyopo wakati huo au kua na aina ya watu au jamii fulani kwa wakati huo.
Umekarir vibaya ushamba wa kushangaza,hata kumteka mtu na kumshambulia Kwa risas Kwa kua hawazi kama ww unavyowaza ni ushamba pia
 
Umekarir vibaya ushamba wa kushangaza,hata kumteka mtu na kumshambulia Kwa risas Kwa kua hawazi kama ww unavyowaza ni ushamba pia
Hakika
Kumudhulumu mwenzako uhai kisa madaraka ni ushamba pia
 
Back
Top Bottom