Utamtambuaje mtu mshamba ( mpori mpori) Kwa matendo

Kumpangia MTU simu ya kutumia nayo ni ushamba hela atafute yeye matumizi umpangie wewe 😏
 
Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba
Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori

1. Kuvaa Yebo na soksi
Hapa usiulize sana

2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata kama anaijua
Kuna mtu ni msukuma anasalimiwa mwadila akiwa Dar anajibu salama jua huyu jamaa ni shamba

3. Kusifia ngono na pombe
Mtu mshamba Huwa anaona fahari kusema yeye ni mtaalamu wa ngono.

4. Kuvaa modo
Yaani suruali ya kubana
Kidume kuvaa suruali imebana mapaja ni ushamba namba 1

5 kuvaa Tshirts mbili
Yaani mikono mirefu ndani na mikono nje

6. Kuitazama clip za video tik tok hadharani
Upo kwenye daladala mrembo atoe simu aanze kuitazama vi clip vya kitoto huko mtandaoni
Huyo ni mshamba

7. Kutumia simu za itel, Infinix na Tecno
Simu zote zilizo duniani na za bei nafuu ndo tukutane na mtu ana aina ya simu hizo usijiulize sana huyo ni mshamba tu

8. Kuhofia kula
Mtu anakaribishwa msosi anakula kama mtoto anabakiza msosi wote, huu ni ushamba

9. Kutokuheshimu taratibu
Watu wapo foleni labda benki jitu lenyewe linajipa ubora liwe la kwanza hilo lishamba

10. Kuamini Mungu hayupo
Mtu mshamba unapumua Kwa Rehema za Mungu halafu unajawa kibri unasema Mungu hayupo hakika wewe ni hayawani na mshamba mkubwa

11.kuteka na kuwa watu ni ushamba.
Ni ushamba namba 1 unaagizwa kumuuwa Mtanganyika mwenzako na unafanya hiyo dhambi.
Huo ushamba utatafuna wewe na kizao chako

12. Kuiba kura ni ushamba
Akudhulumu Imani ya watu Kwa kiongozi wao na kumleta kiongozi asiyetakiwa ni ushamba pia

Taja matendo ya kishamba
13. Kusikiliza radio wakati mnatazama mechi kwenye televisheni
 
mwanaume kutumia iPhone..
mwanaume anatumia samsung.
 
Hela haitangazwi dogo, hela inajionesha.

Ubaya pesa hainunui classy, mshamba atabaki kuwa mshamba tu hata kama ana pesa.
Kama ni hivyo 99% ya wadada ni washamba kwasababu wengi wao wananunulika kwa pesa🤔
 
Back
Top Bottom