Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshamba anapoweka wazi sifa za washamba.Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba
Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori
1. Kuvaa Yebo na soksi
Hapa usiulize sana
2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata kama anaijua
Kuna mtu ni msukuma anasalimiwa mwadila akiwa Dar anajibu salama jua huyu jamaa ni shamba
3. Kusifia ngono na pombe
Mtu mshamba Huwa anaona fahari kusema yeye ni mtaalamu wa ngono.
4. Kuvaa modo
Yaani suruali ya kubana
Kidume kuvaa suruali imebana mapaja ni ushamba namba 1
5 kuvaa Tshirts mbili
Yaani mikono mirefu ndani na mikono nje
6. Kuitazama clip za video tik tok hadharani
Upo kwenye daladala mrembo atoe simu aanze kuitazama vi clip vya kitoto huko mtandaoni
Huyo ni mshamba
7. Kutumia simu za itel, Infinix na Tecno
Simu zote zilizo duniani na za bei nafuu ndo tukutane na mtu ana aina ya simu hizo usijiulize sana huyo ni mshamba tu
8. Kuhofia kula
Mtu anakaribishwa msosi anakula kama mtoto anabakiza msosi wote, huu ni ushamba
9. Kutokuheshimu taratibu
Watu wapo foleni labda benki jitu lenyewe linajipa ubora liwe la kwanza hilo lishamba
10. Kuamini Mungu hayupo
Mtu mshamba unapumua Kwa Rehema za Mungu halafu unajawa kibri unasema Mungu hayupo hakika wewe ni hayawani na mshamba mkubwa
11.kuteka na kuwa watu ni ushamba.
Ni ushamba namba 1 unaagizwa kumuuwa Mtanganyika mwenzako na unafanya hiyo dhambi.
Huo ushamba utatafuna wewe na kizao chako
12. Kuiba kura ni ushamba
Akudhulumu Imani ya watu Kwa kiongozi wao na kumleta kiongozi asiyetakiwa ni ushamba pia
Taja matendo ya kishamba
😁😁😁😁😁😁Kimeniisha mzee
Mkuu, unajua unaweza kuwa mshamba ukawaona wengine ndiyo washamba.Ushamba ni ile hali ya kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida tu,ila na wewe ukilizowea basi ule ushamba wako unakua umeishia hapo,
So,kila mtu anaweza kua mshamba kutokana na mazingira husika aliyopo wakati huo au kua na aina ya watu au jamii fulani kwa wakati huo.
Kwani ukinunua hizo simu unaugua? Nunua tu. Soda ya kopo na chupa zote ni soda jambo la msingi zikate kiu yako.Hapa nawaza kwenda kununua kati ya Itel au Oppo. Sai itakuwaje?
Ama kweli simba na yanga zimeliteka taifa.Kuisifia timu ya Yanga kwamba ni bora kuliko SIMBA😂
Binti kwa hiki ulichosema njoo pm tuyajenge.Hapa duniani hakuna kosa au usahihi bali tafsiri.
Mshamba hachekwiNi mshamba pia
Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba