Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

Situmii bangi ila sijawahi ona sababu ya kuichukia au kuchukia watumiaji wake.
Ile kitu ni mbaya sana watumiaji wa hiyo kitu aiseee akili zao huwa wanazijua wenyewe
 
Mvuta bangi utamtambua kwa vituko vyake, kwani wavuta bangi ni watu wa tasnifa.
 
Broo acha kunikumbusha kipindi nasoma j/burg bange ilikolea sana niliachishwa baada ya kupata demu mfaransa ambaye ni wifi yako mtarajiwa mama kijacho
Hiyo jozi nadhani asilimia 90 ya vijana wanavuta bange kutia ndani wasichana so poa mzee watu bangi wanailewa sana
 
Hiyo jozi nadhani asilimia 90 ya vijana wanavuta bange kutia ndani wasichana so poa mzee watu bangi wanailewa sana
Demu alinifanyia counseling mkuu hadi nikajiona fara ndio nikaacha mzee
 
Alafu nimesahau swali uliouliza niko high sana nadhani, wapiga holy herb huwa ni wacheshi sana haswa anapotoka kipiga kitu pia appetite ya kula inakuwa iko juu sana wengine tunakuwa tupo active kwenye kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…