Eng Inc
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 631
- 944
Ile kitu ni mbaya sana watumiaji wa hiyo kitu aiseee akili zao huwa wanazijua wenyeweSitumii bangi ila sijawahi ona sababu ya kuichukia au kuchukia watumiaji wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile kitu ni mbaya sana watumiaji wa hiyo kitu aiseee akili zao huwa wanazijua wenyeweSitumii bangi ila sijawahi ona sababu ya kuichukia au kuchukia watumiaji wake.
Mume wenu JPM jee??Muangalie Mbowe!
Hiyo jozi nadhani asilimia 90 ya vijana wanavuta bange kutia ndani wasichana so poa mzee watu bangi wanailewa sanaBroo acha kunikumbusha kipindi nasoma j/burg bange ilikolea sana niliachishwa baada ya kupata demu mfaransa ambaye ni wifi yako mtarajiwa mama kijacho
Demu alinifanyia counseling mkuu hadi nikajiona fara ndio nikaacha mzeeHiyo jozi nadhani asilimia 90 ya vijana wanavuta bange kutia ndani wasichana so poa mzee watu bangi wanailewa sana
Wanao sema bangi mbaya hawajahi hata kupiga paff moja hata mie zamani nilikuwa naamin kama wewe ila nilipiga kitu nikaona hali tofauti sana na vile nilivyoambiwa shule.Si kweli, bangi mbaya
Red mi eye hiyo sio mbaya kwani ni tiba ya macho pia.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] [emoji781] [emoji779]View attachment 657409 tulioona muujiza huu kiukweli maisha yetu ni tofauti sana zamani kulikuwa na hadithi za kutisha sana kuhusu huu mmea au holy herb ila sio kweli
Tetryzoline tafuta hiyoMsaada dawa ya kusafisha macho mekundu yaliyoathiriwa na sacred weed