Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

Mwanamke hata umtoe kijijin au mjini ni yule yule tu, jambo la msingi ni aina gani ya malezi na makuzi aliyokulia na nidhamu huja kwa tabia ya asili ambayo haitokani na kuiga tu bali ni urithi kwa wazazi.Mtoto hujifunza na kukariri tabia za wazazi na hujiongezea uzuri au wema wa tabia kwa kujifunza ya duniani ambayo yakiwa mabaya anayaacha anachukua yaliyo mazuri.
 
Back
Top Bottom