Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Wengi huwa tunafikiria kesho, bila kujua na leo pia ni siku tunatakiwa kuiishi.Umenikumbusha Ile stori ya kweli kabisa ya Masai aliyechimbia Mamilioni pale Kwa mworomboo Chuga halafu akayasahau,Hadi waliokuwa wanachimba Barbara walivyozikuta huku nusu zikiwa zimeliwa na mchwa.Watu wengi hawajui Bata au Bata haliwajui.