Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Hapana hapa na pingana na wewe, inawezekana wewe ulichagua tikiti lililoharibika mkuu.
walah matikiti madogo ndiyo yenye maji mengi.
Nakubaliana na wewe, mi nshakula makubwa na madogo, nimeona madogo ndo yana maji mengi sana, alafu matikiti makubwa hayakifu kula kama madogo, matikiti madogo hata wakati ukiyala hayatoshei mkononi, matikiti makubwa huwa yana ganda laiiiini tofauti na matikiti madogo, wengi wayaogopa kwa ukubwa lakini yana namna yake ya kuyala, walah ukila matikiti makubwa hutoacha kamwe.
 
Kila mtu na ufundi wake kuna wanene kitandani ni balaa
 
😱:😱😱hili ndo tikiti kwani
Au mi ndo sijui tikiti maji? Lol ngoja nigoogle
 
Mi mbona napenda ya wastani,makubwa sipendi na nayaona hayana raha..ila yanapendeza kwa macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…