Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Utamu wa tikiti ukubwa wake unahusika

Kila tikiti lina ladha yake halijalishi ni kubwa au dogo,unaweza kuchukua dogo hata hamu isiishe,me hupenda tikiti lililoshiba hasa neema za allah.

Inategemea limeshibaje!! uzuri yaliyoshiba vizuri hata mbegu huwa ni kidogo,kumbuka lenye mbegu nyingi linachosha.
 
NI vizuri zaidi kulila wakati wa baada ya chakula, au hata wakati wa chakula

Kama ni Dogo Inashauri Kitaalamu liliwe Kabla haujala Chakula na mara Nyingi Linatumika kama appetizer ukimaliza Kulitafuna. Small is beutiful though very expensive.

Kwa sababu Tikiti Kubwa Lina maji mengi na Linakifu mapema Inashauriwa Kulila baada ya Chakula ili lisije kukupotezea appetite maana Mimaji ile Muda Mwingine yanatoa harufu kali Kama Nyumbani Hakuna Maji ya Kutosha Kuliosha.
 
Ahaa sawa kabisa, ila kumbuka unaweza kulitest kabla ya kulinunua.
hongera lakini naona wewe unauzoefu zaidi na yale madogo.
 
sawa, lakini kulila kistaarabu litaisha tu..
kumbuka unaweza kulila asubuhi, mchana na usiku lazma liishe hata liwe kubwa kama mpira wa basket

Matiki makubwa Ukilionja Ukakuta Maji mengi na halina utamu wowote Hauwezi Kuliweka Kiporo na badala yake ni Kulitupa kwenye dustbin...Utaweza Kula Asbh, Mchana na Jioni kama litakuwa tamu..
 
Matiki makubwa Ukilionja Ukakuta Maji mengi na halina utamu wowote Hauwezi Kuliweka Kiporo na badala yake ni Kulitupa kwenye dustbin...Utaweza Kula Asbh, Mchana na Jioni kama litakuwa tamu..

Yes, yaliyomengi makubwa ni matamu lakini, and that is what i'm talking about
 
ahaa.. sawa kabisa, ila kumbuka unaweza kulitest kabla ya kulinunua...
hongera lakini naona wewe unauzoefu zaidi na yale madogo.

Hiyo ya Kutest Ndo Naisikia kwa mara ya kwanza toka kwako; Hii ya Kutest Ipo Bongo tu labda; Lakini hata bila ya Kutest Mara nyingi kama sio zote Bei ya Tikiti Inareflect Ubora; Hivyo kama Hauna uhakika jaribu Kufuata Bei.

High Price always reflect Quality ya Tikiti, likewise Low Price means low poor quality. Hizi Wanazitumia Wadachi ( Amsterdam na The Hague) maana matikiti ya kule yanauzwa kutokana na ubora na Masoko yako sehemu tofauti kabisa kiasi kwamba haupati shida ya Kuulizia bei.
 
Mm napenda tikiti kubwa, hilo hunikosha kabisa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom