Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila tikiti lina ladha yake halijalishi ni kubwa au dogo,unaweza kuchukua dogo hata hamu isiishe,me hupenda tikiti lililoshiba hasa neema za allah.
na ndiyo matamu!!
NI vizuri zaidi kulila wakati wa baada ya chakula, au hata wakati wa chakula
Kama ni Dogo Inashauri Kitaalamu liliwe Kabla haujala Chakula na mara Nyingi Linatumika kama appetizer ukimaliza Kulitafuna. Small is beutiful though very expensive.
Kwa sababu Tikiti Kubwa Lina maji mengi na Linakifu mapema Inashauriwa Kulila baada ya Chakula ili lisije kukupotezea appetite maana Mimaji ile Muda Mwingine yanatoa harufu kali Kama Nyumbani Hakuna Maji ya Kutosha Kuliosha.
sawa, lakini kulila kistaarabu litaisha tu..
kumbuka unaweza kulila asubuhi, mchana na usiku lazma liishe hata liwe kubwa kama mpira wa basket
hayo ni mawazo na tafsiri yako..
utamu wako anaujua uta...
surely kama ni dogo then siyo la pwani!! mhhhh
Matiki makubwa Ukilionja Ukakuta Maji mengi na halina utamu wowote Hauwezi Kuliweka Kiporo na badala yake ni Kulitupa kwenye dustbin...Utaweza Kula Asbh, Mchana na Jioni kama litakuwa tamu..
ahaa.. sawa kabisa, ila kumbuka unaweza kulitest kabla ya kulinunua...
hongera lakini naona wewe unauzoefu zaidi na yale madogo.
Hahahaha so flat sie sio watamu ama unamaanisha nini?
wewe kwa nini ujiite flat screen?
Flat jamani watamu watu hawajui tu,kitumbua huwa kiko juujuu tu,hupati shida kukitafuna.