- Thread starter
- #81
Kuna majamaa ya west Afrika huko yako tayari kumfikisha binti kilele cha maraha hata sijui kwanin alikua anang'ang'ana na huyo as if hakuna wengine wanamtakaKumbe kilele anakijua!
Aende kwa aliyefika naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna majamaa ya west Afrika huko yako tayari kumfikisha binti kilele cha maraha hata sijui kwanin alikua anang'ang'ana na huyo as if hakuna wengine wanamtakaKumbe kilele anakijua!
Aende kwa aliyefika naye
Ya ex wake siyajui na its none of my business atajijua mwenyeweSasa hayo si mapenzi ya wanyama kabisa. Na huyo ex wake nae alikua hivyo hivyo?
Unategemea Mwanamke anayetakwa na staff wa west Africans embassy anaweza kutoka na wewe wa JF?nakaziaa
Namba za mwanamke au huyo mwanaume?Utupatie namba zake tutamuelekeza
Huyo binti mwenyewe alikua tayari kuvumilia ila frustration za genye zimevuruga amani ya mahusiano yao.Namaanisha atampata atakaeweza kuvumilia asimuache japo atachapiwa sana.
Atajijua mwenyewe.Njoo nkupe dawa umpe mumeo akukojoleze Hadi mchafue mashuka ya watu
😍😍😍Mmh kumbe nina Id mate!
Naona Kama hoja zako unachanganya shida kufika kileleni au kupiga kimoja chalii, maana hata kupiga bao nne sio kufika kileleni sema na 90% ya watu wanapigana bao zaidi ya tatu na hawafikishani huko kileleni so sema jamaa ni kimoja chaliii so awe at least anapiga vitatu atamridhisha mwanamke angalau lakini si kwa kufika huko kileleni ila oua hata wakifika mara moja kwa miezi miwili sio mbaya.Binti anadai hawajawahi kurudia gemu hata mara moja.
Binti ana maisha yake..Inshort ni bosslady hana shida na hela ya huyo mtu.
Binti ana watu wengine hadi wa mataifa ya nje wanamuhitaji nimemshauri ajaribu na mtu mwingine
Dildo watatumia wasiotongozwaHata kupiga katerelo,dildo na kadharika,hawa viumbe usiwaamini anaweza hata kulala na mbwa.
Hellow[emoji7][emoji7][emoji7]
Hello mate
Sijui mengi ila najua binti hajawahi kufikishwa kilelen na jamaa hajawahi kurudia na kwamba kwa jamaa yake wa zaman alikua anamalizwa genye zake na kwamba Ex wa jamaa pia alikua analalamikia the same thing.Naona Kama hoja zako unachanganya shida kufika kileleni au kupiga kimoja chalii, maana hata kupiga bao nne sio kufika kileleni sema na 90% ya watu wanapigana bao zaidi ya tatu na hawafikishani huko kileleni so sema jamaa ni kimoja chaliii so awe at least anapiga vitatu atamridhisha mwanamke angalau lakini si kwa kufika huko kileleni ila oua hata wakifika mara moja kwa miezi miwili sio mbaya.
Pia, Sina uzoefu Sana na huko kileleni ila nadhani si jambo la mwanaume tu ni la wote sio mwanaume apambane na vilele vyake na chako pia avipambanie.
Keshabeba mashangazi kaja yake na ma Ghana must go yake hapa tayari kusepa kuelekea West afrika 😁Kabisa,asepe
Sasa kama ni hivyo ulikuwa unatusumbua kuomba ushauri ili iweje ilhali umeshafanya maamuzi ya kusepa zako?Wataikalia wengine binti anasepa zake
Ni mawazo yako tuSasa kama ni hivyo ulikuwa unatusumbua kuomba ushauri ili iweje ilhali umeshafanya maamuzi ya kusepa zako?
By the way, kwanini unamsingizia binti ilhali mhanga wa hili tukio ni wewe ??
Nimetembea nyuzi zako nimegundua unasumbuliwa na maradhi ya tumbo kujaa gesi, maumivu ya mgongo, ganzi mwilini nk. Huwezi kufika kileleni ilhali una maumivu mwilini. Tafuta tiba kwanza ukishapona utaenjoy sex na utakojoa kojo jingi mno!!
Ndo mpango🥰Keshabeba mashangazi kaja yake na ma Ghana must go yake hapa tayari kusepa kuelekea West afrika 😁
Kwanini unafatilia watu mkuu?Sasa kama ni hivyo ulikuwa unatusumbua kuomba ushauri ili iweje ilhali umeshafanya maamuzi ya kusepa zako?
By the way, kwanini unamsingizia binti ilhali mhanga wa hili tukio ni wewe ??
Nimetembea nyuzi zako nimegundua unasumbuliwa na maradhi ya tumbo kujaa gesi, maumivu ya mgongo, ganzi mwilini nk. Huwezi kufika kileleni ilhali una maumivu mwilini. Tafuta tiba kwanza ukishapona utaenjoy sex na utakojoa kojo jingi mno!!
Kwa mujibu wa binti Yes.Yeye je anamfikisha jamaa hukokileleni?