Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Kumbe kilele anakijua!
Aende kwa aliyefika naye
Kuna majamaa ya west Afrika huko yako tayari kumfikisha binti kilele cha maraha hata sijui kwanin alikua anang'ang'ana na huyo as if hakuna wengine wanamtaka
 
Binti anadai hawajawahi kurudia gemu hata mara moja.
Binti ana maisha yake..Inshort ni bosslady hana shida na hela ya huyo mtu.
Binti ana watu wengine hadi wa mataifa ya nje wanamuhitaji nimemshauri ajaribu na mtu mwingine
Naona Kama hoja zako unachanganya shida kufika kileleni au kupiga kimoja chalii, maana hata kupiga bao nne sio kufika kileleni sema na 90% ya watu wanapigana bao zaidi ya tatu na hawafikishani huko kileleni so sema jamaa ni kimoja chaliii so awe at least anapiga vitatu atamridhisha mwanamke angalau lakini si kwa kufika huko kileleni ila oua hata wakifika mara moja kwa miezi miwili sio mbaya.

Pia, Sina uzoefu Sana na huko kileleni ila nadhani si jambo la mwanaume tu ni la wote sio mwanaume apambane na vilele vyake na chako pia avipambanie.
 
Sijui mengi ila najua binti hajawahi kufikishwa kilelen na jamaa hajawahi kurudia na kwamba kwa jamaa yake wa zaman alikua anamalizwa genye zake na kwamba Ex wa jamaa pia alikua analalamikia the same thing.
 
Wataikalia wengine binti anasepa zake
Sasa kama ni hivyo ulikuwa unatusumbua kuomba ushauri ili iweje ilhali umeshafanya maamuzi ya kusepa zako?

By the way, kwanini unamsingizia binti ilhali mhanga wa hili tukio ni wewe ??

Nimetembea nyuzi zako nimegundua unasumbuliwa na maradhi ya tumbo kujaa gesi, maumivu ya mgongo, ganzi mwilini nk. Huwezi kufika kileleni ilhali una maumivu mwilini. Tafuta tiba kwanza ukishapona utaenjoy sex na utakojoa kojo jingi mno!!
 
Ni mawazo yako tu
 
Kwanini unafatilia watu mkuu?
 
Back
Top Bottom