Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Ujue mkuu genye za muda mrefu ni ugonjwa ee?
Sasa huyu binti yuko veery unstable na hiyo imedhoofisha mahusano yao coz jamaa anaona binti amekua na vitabia vya ajabu.
Natamani ningeweza kuongea na huyo shem wetu atafute jinsi yakumridhisha mwanamke wake mana hakika binti anampenda sana mtu wake na shem akimpoteza huyu binti anaweza asipate tena binti wa hivi.Ni binti mtulivu mwenye kuzingatia maisha yake tofauti na wanawake wengi wa kisasa ila kwa ninavyoona sijui kama hilo penzi litasalimika.
 
Binti anampenda sana jamaa.. ni kitu kizuri, ila kazi ya kupenda huwa sio ya mwanamke ni kazi ya mwanaume ( Anae takiwa kupenda ni mwanaume ).. Mwanamke anakuwa na emotion za upendo.. Hapo rahisi kuonekana kama ana vitabia flani visivyo.. kwasababu inaonekana wali ruka hatua.. hawajawai kuwa washkaji, marafiki .. kama wangekuwa washkaji na marafiki jambo rahisi sana hilo.. ila hata kama hawapo hivyo, aende nae mdogo mdogo kwa vitendo.. ajitahidi ku dominate game.. wakati mwingine aanzishe hata challenge za mtifuano kama marafiki ana muandaa mwenzake kimashindano kwa ahadi.. ujue mapenzi bila utani na mizaha na ukatuni yana boa..
 
...mwambie akamchimbie migomba... Amchanganyie kwa chai... Alafu hata hvo...ndo kashamtangaza... Na wewe umemwaga mtama kwetu... Na sis ngoja tukamwage...
 
Ni upuuzi kushindwa kumshirkisha jambo la ndani mtu unayedili nae harafu unakuja humu jf kuomba ushauri,wewe mwelekeze akufanyie Hilo linalokufurahisha. Vijana wa Leo mnashida sana yote ni Kwa sababu ya stori za mitandaoni.
 
Hicho cha pili unamuandaa akiwa usingizini?

Ni kimoja then anasema kachoka majukumu then wanalala
 
Kuna uzi wa FaizaFoxy humu unasema uliza chochote akujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…