- Thread starter
- #161
Ujue mkuu genye za muda mrefu ni ugonjwa ee?asiogope! Kama wanapendana kweli kabisa, anaweza tumia lugha nyepesi ya kirafiki ( kama mapenzi yao yalishawai fikia stage ya kuwa marafiki na washkaji ).. na asitake zungunza yote siku moja, inaweza leta lingine.. kila siku aongea jambo machache katika lugha nyepesi , laini na iliyojawa na huba zito na upendo.. 🥴🥴🥴.. iwe kitu cha muendelezo.. asitake tapika kila kitu siku moja ataharibu..
Sasa huyu binti yuko veery unstable na hiyo imedhoofisha mahusano yao coz jamaa anaona binti amekua na vitabia vya ajabu.
Natamani ningeweza kuongea na huyo shem wetu atafute jinsi yakumridhisha mwanamke wake mana hakika binti anampenda sana mtu wake na shem akimpoteza huyu binti anaweza asipate tena binti wa hivi.Ni binti mtulivu mwenye kuzingatia maisha yake tofauti na wanawake wengi wa kisasa ila kwa ninavyoona sijui kama hilo penzi litasalimika.
asiogope! Kama wanapendana kweli kabisa, anaweza tumia lugha nyepesi ya kirafiki ( kama mapenzi yao yalishawai fikia stage ya kuwa marafiki na washkaji ).. na asitake zungunza yote siku moja, inaweza leta lingine.. kila siku aongea jambo machache katika lugha nyepesi , laini na iliyojawa na huba zito na upendo.. 🥴🥴🥴.. iwe kitu cha muendelezo.. asitake tapika kila kitu siku moja ataharibu..