Tatizo kubwa kwa mwanamke kutofika kileleni linaanza na mwanamke mwenyewe. Ipo hivi, wanawake almost wote, kufika kwao kilele wamemuachia mwanaume. Yaani wao wanaona hawahusiki kabisa kwenye kufika kwao kileleni. Hapo ndo penye shida. Unakuta, kama kilele kipo "Moshi" na mwanaume anahangaika kumpeleka Moshi kilipo kilele, wao badala ya kuungana na mwanaume kuelekea Moshi, wapo bize kuelekea "Mtwara". In this way, hakunatakuwa na siku atafika kileleni.
Fanyeni mambo yanayowafanya mfike kileleni mnapokuwa na wanaume wenu kwenye kunyanduana.
BTW hakuna lugha nzuri utakayotumia kumwambia mwanaume kuwa hajaweza kukufikisha kileleni. Kwa mwanaume, jambo lolote linalokosoa uanaume wake, lazima limuumize.