- Thread starter
- #141
Aisee!Kwani tango linauzwa sh ngapi huko aliko? Matango yamekuwa yanatupigia madem zetu na wala hatustuki maana tukioyaona tunajua yamenunuliwa kwa ajili ya kachumbali baadae
Pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!Kwani tango linauzwa sh ngapi huko aliko? Matango yamekuwa yanatupigia madem zetu na wala hatustuki maana tukioyaona tunajua yamenunuliwa kwa ajili ya kachumbali baadae
Michezo mitatu nafika mara Moja brovipi huwa unafika mleleni mkuu 🥴
Hahahaha, nimecheka sana. Kumbe wapo ambao hawafikishiki?Muulize kwanza yeye mwenyewe anafikishika? Kama ndio basi arudi Kwa aliefika nae
Aisee!Kwani tango linauzwa sh ngapi huko aliko? Matango yamekuwa yanatupigia madem zetu na wala hatustuki maana tukioyaona tunajua yamenunuliwa kwa ajili ya kachumbali baadae
Kuna vingine kibinadamu unahofia ukisema utamuumiza mwenzio.mapenzi.. au sanaa ya mapenzi inahitaji uwazi sana.. na huo ndio upendo na ndio kupendana kwenyewe
yani one kwa three au three kwa one.. 😬😬... kama ni hivyo jamaa mkaliMichezo mitatu nafika mara Moja bro
KabisaHahahaha, nimecheka sana. Kumbe wapo ambao hawafikishiki?
Mchezo wa kwanza akiwa na pumz nafika nae....ila kama ni chap atakimbiza sana gameyani one kwa three au three kwa one.. 😬😬... kama ni hivyo jamaa mkali
Hee!Hilo ni jambo lake binafsi haihusiani na mwenzake. Huoni mwenzake kafika.? Je akijichua anafika kileleni?? Kama anaweza then utamu anao mwenyewe asimsingizie huyo jamaa.
asiogope! Kama wanapendana kweli kabisa, anaweza tumia lugha nyepesi ya kirafiki ( kama mapenzi yao yalishawai fikia stage ya kuwa marafiki na washkaji ).. na asitake zungunza yote siku moja, inaweza leta lingine.. kila siku aongea jambo machache katika lugha nyepesi , laini na iliyojawa na huba zito na upendo.. 🥴🥴🥴.. iwe kitu cha muendelezo.. asitake tapika kila kitu siku moja ataharibu..Aisee!
Pole sana
Kuna vingine kibinadamu unahofia ukisema utamuumiza mwenzio.
Ila nimegundua genye ni kama mimba,utajikaza wee ila zikizidi lazima zikuwehushe😃😁.
Ukiona hizo sms anazoniandikia binti kumlalamikia huyo shem.wetu unajua kabisa binti she is mentally unhealth na yeye kumsaliti jamaa apunguze genye hataki na kumwambia anaogipa atamuumiza eti
Mambo mengine kama yapi mkuu?Kama jamaa mambo mengine yupo vzuri n ngumu
Kama utanilinda sawa😍Unamuogopea nini? Ntakulinda usijali
Ngoja ashindwane na wanaomtaka in real life ndo atakuja kuokota mitandaoniMwambi aje kwangu nimsaidie kumkojoza
😊😊😊 maelezo yako haya jitoshelezi..Mchezo wa kwanza akiwa na pumz nafika nae....ila kama ni chap atakimbiza sana game
Kamwambia leo asubuhi ila roho imeniuma sijui anajisikiaje kaka wa watu huko alipo.😭Unamwambia kwa lugha laini na ya kubembeleza
Mwanamke hajawahi kushindwa na mwanaume kwenye kupeana utamu. Unajua kwamba hiyo ndio weakness yetu sisi wanaume hizo punani zenu? Unalijua hilo?Mkuu wangu asante kwa ushauri wako ila imagine binti anaomba waandaane kwanza ila mtu anasema hakuja haja anachomeka ana pump anakojoa then THE END .
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Pengine uyo dada ni mstaafu wa kimboka
FaizaFoxy ni wewe huyu ulie chukua maandiko ya biblia na mwandishi akiwa Paul Apostle1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.