Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

Kwani tango linauzwa sh ngapi huko aliko? Matango yamekuwa yanatupigia madem zetu na wala hatustuki maana tukioyaona tunajua yamenunuliwa kwa ajili ya kachumbali baadae
Aisee!
Pole sana
mapenzi.. au sanaa ya mapenzi inahitaji uwazi sana.. na huo ndio upendo na ndio kupendana kwenyewe
Kuna vingine kibinadamu unahofia ukisema utamuumiza mwenzio.
Ila nimegundua genye ni kama mimba,utajikaza wee ila zikizidi lazima zikuwehushe😃😁.
Ukiona hizo sms anazoniandikia binti kumlalamikia huyo shem.wetu unajua kabisa binti she is mentally unhealth na yeye kumsaliti jamaa apunguze genye hataki na kumwambia anaogipa atamuumiza eti
 
asiogope! Kama wanapendana kweli kabisa, anaweza tumia lugha nyepesi ya kirafiki ( kama mapenzi yao yalishawai fikia stage ya kuwa marafiki na washkaji ).. na asitake zungunza yote siku moja, inaweza leta lingine.. kila siku aongea jambo machache katika lugha nyepesi , laini na iliyojawa na huba zito na upendo.. 🥴🥴🥴.. iwe kitu cha muendelezo.. asitake tapika kila kitu siku moja ataharibu..
 
Mkuu wangu asante kwa ushauri wako ila imagine binti anaomba waandaane kwanza ila mtu anasema hakuja haja anachomeka ana pump anakojoa then THE END .
Mwanamke hajawahi kushindwa na mwanaume kwenye kupeana utamu. Unajua kwamba hiyo ndio weakness yetu sisi wanaume hizo punani zenu? Unalijua hilo?

Hakuna kipengele tunacholegea wanaume kwa wanawake zetu kama hapo katikati ya mapaja yenu nyie ke zetu. Mwache kwanza amwage Cha kwanza kisha muandaane kwa Cha pili
 
1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
FaizaFoxy ni wewe huyu ulie chukua maandiko ya biblia na mwandishi akiwa Paul Apostle
 
Video za ngono zitawaua.
The moment unafeel happy hiyo ndio peak katika mapenzi.
Sijui utamu mpaka kuzimia , sijui kumwaga mimaji sio kileleni bali ni miongoni mwa viashiria vya kileleni.
You can go there without that sign.
Muda mwingine tatizo ni la mwanamke. How come unafilimbwa dk 5 au zaidi na usifike?
 
Back
Top Bottom