Utani wa jad kati ya wanaume wa dar na wa mikoan sijui hata utaisha lini

Hata kama ww ni mwanaume wa mkoa kwa hyo lugha uliyoandika aiseeee nina wasiwasi sana na wewe.
Mwanaume wa dar kazini, mara nyingi huwa mnakaa na mashosti wezu mkipiga stori kiasi kwamba hata akipita panya tu utasikia mkisema..... ''whaaat the hell, panya anafanya tusikae kwa amani hapa'' [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wanaume wa dar bwanaa, basi utawasikia wakisema "Waoooooooo!!!" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Juzi alikuja mwanaume mmoja wa dar ambae ni rafiki yangu wa primary basi ile namuonesha shemeji yake si ndio akaanza mara "waoooooo", [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ikabidi nimsukumie pembeni hukooooo
 
Ni dar pekeee ambapo mwanaume anamnunulia soda mwanaume mwenzake
 
Wanaume wa dar hawawezi kunawa mikono au miguu yao ...hata kukata kucha hawawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…