Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume wa dar kazini, mara nyingi huwa mnakaa na mashosti wezu mkipiga stori kiasi kwamba hata akipita panya tu utasikia mkisema..... ''whaaat the hell, panya anafanya tusikae kwa amani hapa'' [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hata kama ww ni mwanaume wa mkoa kwa hyo lugha uliyoandika aiseeee nina wasiwasi sana na wewe.
Wanaume wa dar bwanaa, basi utawasikia wakisema "Waoooooooo!!!" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Lakini kazi zote mnazohangaika nazo mikoani hua mnategemea wanaume wa Dar tutengeneze hela ili mlete mizigo yenu mabibo kkoo tandale na temeke. Uchumi wa Tz 60% unashikiliwa na wanaume wa Dar.
Aisee wanaume wa Dar popote mlipo kamata Pepsi moja nakuja kulipa. Nyie ndo mnaompa Zito Kabwe jeuri ya kuchambua takwimu za uchumi. Achana na wanaume wa Dar banaaaa
Hahaahahhaaa, mkuu umenivunja mbavu!Ahaha niliwai shuhudia kuku ana nyoya za kuhesabika afu wamekaa kikundi km mbuzi wanaochungwa[emoji23][emoji23] unaweza dhani kuku ni walemavu wa miguu au akili
Pitia garage zirudi kwa hali yake ahaah[emoji16]Hahaahahhaaa, mkuu umenivunja mbavu!
Ni dar pekeee ambapo mwanaume anamnunulia soda mwanaume mwenzakeLakini kazi zote mnazohangaika nazo mikoani hua mnategemea wanaume wa Dar tutengeneze hela ili mlete mizigo yenu mabibo kkoo tandale na temeke. Uchumi wa Tz 60% unashikiliwa na wanaume wa Dar.
Aisee wanaume wa Dar popote mlipo kamata Pepsi moja nakuja kulipa. Nyie ndo mnaompa Zito Kabwe jeuri ya kuchambua takwimu za uchumi. Achana na wanaume wa Dar banaaaa
Kama hakusema ivo bas alisema oh my gosh...yaan hawa wanaume wa dar Pasua kichwaHaaaaaa hakusema JOMONI
[emoji12] [emoji12] [emoji12] sasa huu utani wa ngumiWanaume wa dar bwanaa, basi utawasikia wakisema "Waoooooooo!!!" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa dar bhana eti wanamuacha scorpion tena mmoja tu anatoboa mtu macho wao wakila chipsi na mashosti zao magengeni
Hata shanga kiunon wanavaa wanaume wa darIv kumbe wanavaaga had helen