Utani wa jad kati ya wanaume wa dar na wa mikoan sijui hata utaisha lini

Sorry,wanaume wa MIKOANI ndo wale wanaopiga simu RFA alfajiri ya saa 11 ili kuwaamsha watu au wale wanaopiga simu RFA kwenye kipindi cha HAKUNA KULALA?
Hahaaaa umetisha mkuu
 
Panya road vitoto vya lasaba vinakimbiza watu wazima hiyo ni kwa dar pekee
Kunasiku panya road walifunga Barbara ya Mwenge ,ilikuwa kama SAA mbilimbili kasoro duuuu!!!! Sitasahau cku hiyo ....nilijikuta nipo tegeta mwisho kwa kukimbia kwa mguu....watu na magari yao wanatimka hovyoo...wakati wakurudi nikapanda daladala kuelekea mbezi.,kupita pale Mwenge mataa peupee ,wanaume wa dar wamejifungia magetoni na wake zao...
Panya road ,mungu anawaona.
 
Wanaume wa dar ni wapole sana
 
Wanaume wa Dar wanavaa shanga miguuni kama shishi baby
 
kwa hiyo na wewe uliwakimbia panya road? mikoani hatunaga waoga kama nyie.
 
Tatizo pombe zinawafanya hata kuwaza hamuwezi. Huyo mhashimiwa scopion kwani ni mwanaume wa wapi? Dar kapiga kibaka wapi dar sasa kelele zinatokaje bush?

Tena kuna mikoa hata serikali imeshaingilia kati. Kule romborombo kule wanawakr zenu wanavuka mpaka kupata huduma ya ndoa kenya. Yaani wanaume wa uchagani mnatuharibia taifa. Soon rombo kutajaa mungiki
 
Wanaume wa mikoani si ndiyo wale wake zenu wanaenda kukodisha wanaume Kenya
 
Sorry,wanaume wa MIKOANI ndo wale wanaopiga simu RFA alfajiri ya saa 11 ili kuwaamsha watu au wale wanaopiga simu RFA kwenye kipindi cha HAKUNA KULALA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc wamikoani
 
>>Mwanaume wa dar ukiongea naye maneno mawili tu anaanza kulamba midomo.
>>mwanaume wa dar kazi kukaa vibarazani kuchongwa nyusi
>>kazi kukaa na dada zao, kugongana mikono na kusema "haloooo", jomoni, lol, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…