Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunasiku panya road walifunga Barbara ya Mwenge ,ilikuwa kama SAA mbilimbili kasoro duuuu!!!! Sitasahau cku hiyo ....nilijikuta nipo tegeta mwisho kwa kukimbia kwa mguu....watu na magari yao wanatimka hovyoo...wakati wakurudi nikapanda daladala kuelekea mbezi.,kupita pale Mwenge mataa peupee ,wanaume wa dar wamejifungia magetoni na wake zao...Panya road vitoto vya lasaba vinakimbiza watu wazima hiyo ni kwa dar pekee
Huu utan ni wa ngumi huu
Wanaume wa dar njoon mzibitishe
Wewe ni moderator?Sina chuki na wewe
Hapana mimi sio moderator!Wewe ni moderator?
Hahahaaaaa, atakua wa mkoa gani huyounataka waje "wazibitishe" sio?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Familia nzima jion wote wanatoka kwenda kula chips na kuku zilizotimizA week 3(zezeta).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waacheni wapumue hao wagombania dressing table na dada au wake zao
kwa hiyo na wewe uliwakimbia panya road? mikoani hatunaga waoga kama nyie.Kunasiku panya road walifunga Barbara ya Mwenge ,ilikuwa kama SAA mbilimbili kasoro duuuu!!!! Sitasahau cku hiyo ....nilijikuta nipo tegeta mwisho kwa kukimbia kwa mguu....watu na magari yao wanatimka hovyoo...wakati wakurudi nikapanda daladala kuelekea mbezi.,kupita pale Mwenge mataa peupee ,wanaume wa dar wamejifungia magetoni na wake zao...
Panya road ,mungu anawaona.
HaaaaaaaaaaasFamilia nzima jion wote wanatoka kwenda kula chips na kuku zilizotimizA week 3(zezeta).
HahahahaWanashindana kupaka poda na kuvaa heleni na madada zao
Hahahaha....eti hakusema JOMONI [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaaaaa hakusema JOMONI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sorry,wanaume wa MIKOANI ndo wale wanaopiga simu RFA alfajiri ya saa 11 ili kuwaamsha watu au wale wanaopiga simu RFA kwenye kipindi cha HAKUNA KULALA?