Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unayekaa na mashosti kisha ukajitambua kama mwanaume mnhhhh jamani sijui kama mnamuelewa huyuMwanaume wa dar kazini, mara nyingi huwa mnakaa na mashosti wezu mkipiga stori kiasi kwamba hata akipita panya tu utasikia mkisema..... ''whaaat the hell, panya anafanya tusikae kwa amani hapa'' [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
umeshaelezewa sababu kulekule kwenye uzi..Mbona umefuta uz wangu askar wangu
Bas sawa mkuu wewe ni mtemi lakin sio poa kabisa ujueumeshaelezewa sababu kulekule kwenye uzi..
Ukileta ubishi na huu uzi tutaaunganisha na nyuzi nyingine zinazohusu Wanaume wa Dar
Nikuelezee mara ngapi uelewe...angalia nyuzi zako zilizofutwa makosa yake ndio ujueBas sawa mkuu wewe ni mtemi lakin sio poa kabisa ujue
Lakin mkuu kwanini kila siku unafuta tu nyuz zangu za wengine hufut
Kwahiyo unataka kuitwa mwanaume wa dar mtarajiwa?Nina mpango wa kwenda dar kutoka mkoani nikae kama mwaka mmoja ivi( kwa special issue)! Na mimi nitakua mwanaume wa dar? Maana kwa kweli sipendi ilo jina kabisaa[emoji16][emoji16]
Tusipo waletea tunavyoliwa wanaume wa kweli, mihogo, magimbi si mtaishia kulendemka kwa kunywa sijui maji ya madafu mara sijui vipweza[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Lakini kazi zote mnazohangaika nazo mikoani hua mnategemea wanaume wa Dar tutengeneze hela ili mlete mizigo yenu mabibo kkoo tandale na temeke. Uchumi wa Tz 60% unashikiliwa na wanaume wa Dar.
Aisee wanaume wa Dar popote mlipo kamata Pepsi moja nakuja kulipa. Nyie ndo mnaompa Zito Kabwe jeuri ya kuchambua takwimu za uchumi. Achana na wanaume wa Dar banaaaa
Sina chuki na weweUnajua wewe jamaa siku hiz una chuki sana juu yang
Kwanza kwanini ulinipigaga ban ya week tatu wakati ban huwa ni siku tatu
sukuhusika kwenye kukupiga Ban mkuu ieleweke hivyoKwanini ulinipiga ban ya week tatu?
Ulitaka unikomoe au