Mimi na Lucas Mwashambwa ni damu damukaka Lucas Mwashambwa ephen_ nimeona anaanza kutumiwa vimemo vya kingereza. Unalizungumziaje hili?
Uje dasalama nikupeleke kwao chanika tukaongee na mama yake.
Achana na yule chizi anaandika viingereza vya kukopi utafikiri anamuandikia Barua Rihanna au Beyonce. Mimi naongea lugha na maneno yanayotoka moyoni na siyo yule chizi anakopi utafikiri imla.kaka Lucas Mwashambwa ephen_ nimeona anaanza kutumiwa vimemo vya kingereza. Unalizungumziaje hili?
Uje dasalama nikupeleke kwao chanika tukaongee na mama yake.
Usha Anza kujioa vyeo vyanguππ, tuheshimiane dogo gun manπ€£π€£Pamoja sana , kumbuka Mimi ndio Best Swordman hapa Jf.
tutamshonea dela la CHADEMAππππAchana na yule chizi anaandika viingereza vya kukopi utafikiri anamuandikia Barua Rihanna au Beyonce. Mimi naongea lugha na maneno yanayotoka moyoni na siyo yule chizi anakopi utafikiri imla.
Ukichanja Damu yangu unakuta imejaa Upendo na mawazo mazuri kwa ephen.
Mwenyezi Mungu akuongoze katika njia sahihi.Mkuu,
Kuna watu walijitolea kupigania uhuru wa Afrika, wengine wamejitolea kupigania usawa wa watu, na kadhalika.
Mimi, kwa kadiri ya uwezo wangu, pale ambapo naona kunaweza kuwa na deserving case, najitolea kuweka mambo sawa na kunyoosha dhana kuhusu uwepo wa Mungu. Hususan hapa JF.
Hizi habari nyingi kwa wasomaji wa Kiingereza si kitu cha ajabu. You can pick up Bertrand Russell or Richard Dawkins and get most of my points, even more, in a week or two.
Tatizo jamii yetu kwa kiasi kikubwa haisomi, na zaidi, Kiingereza ni mzigo wa misumari unaotutesa sana. Na hata kwa wanaoelewa Kiingereza, logical and critical thinking ni janga la kitaifa.
Nilivyoanza, nilionekana mtu wa ajabu sana, almost kichaa. Lakini polepole, naona siku hizi, hizi dhana za kupinga uwepo wa Mungu, kifalsafa, kimantiki, zinaeleweka sana. Kuna watu wengi wanaelewa, ama wamejifunza na kukubali mantiki ya dhana ya kutokuwepo Mungu, ama walikuwa wanaijua mantiki hii tangu awali na wamepata urahisi wa kuungana na watu wanaoonekana kuhoji uwepo wa Mungu.
Siko mpweke kama awali tena, na kadiri siku zinavyoenda, watu wanavyozidi kupanuka mawazo, kusoma, kusafiri, kueleea mambo zaidi, tutaelewana tu.
Ingawa imani potofu huwa zina tabia ya kung'ang'ania sana kwenye vichwa vya watu hata kwa "cognitive dissonance" tu, mapambano yanaendelea, mafanikio makubwa katika kuupiga vita upotofu huu wa imani ya Mungu yapo mbele yetu.
Asante sana kwa tag.
Ehee! Sasa sijui ndiyo nimeandika nini!wakuu Mambo ni vipi.
Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo utawakuta.
1 . Ni Accumen Mo na mgalatia Maghayo
Hawa ndugu zangu mimi huwa wananifurahisha sana. Nitakapoona komenti ya maghayo basi najua Accumen Mo lazima aweke wino wake hapo na lazima iwe ni kituko. Mwanzoni mgalatia huyu alikuwa ana battle sana na adriz nikaona utani umepungua umeamia kwa accumen mo. Sijui nyinyi mnauchukuliaje utani wenu ila kwangu ni burudani
2. Lucas Mwashambwa
CHIEF PRIEST
Tindo
Ma mmoja anaitwa Benjamin netanyhau
Sijui wao huenda wakawa wanaongea kwa kuchagua pande zao za siasa ila mimi kwangu huwa ni burudani. Hasa Kaka Lucas akiwa anamjibu Benjamin netanyhau huwa anamwambia hivi β Punguza mibange unayovutia chooni βπ€£π€£ binafsi kwangu ni burudani . Tindo na Lucas na ndugu chief priest hazijawahi kuiva ni paka na panya. Hili battle huwa ninalipenda.
Lakini kaka Lucas katokea kumuelewa Sana dada @ephen hata ukiangalia charts zao unaona kuna flow nzuri kabisa baina yao.
Kuna mtu mmoja sijui yeye kama yupo serious ila kwangu huwaga ni kucheka Etwege huyu jamaa yeye hata kama mada inahusu mboga za majani lazima neno Tundu Lissu liingie hapo na lazima atafute koneksheni ya mboga na Tundu lissu. Kwangu mm huwa ni kucheka tu na furaha tele. Nakukubali sana ndugu.
Ukitaka Infropreneur uone komenti yake wewe anzisha mada ya kusema Mungu yupo, kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo onlineππ huwa nafurahi sana.
Ukitaka kuona uzi wa mpira unanoga wawepo Hawa watu sana sana kuhus SIMBA VS YANGA
Okwa BOBAN SUNZU mhasibu
Labani og
NALIA NGWENA
Scars
Hapo kuna wananchi na kuna simba watoto wa kariakoo, Mimi huwa majadiliano yao yananifurahisha sana. Ninawakubali sana.
Ngoja niishie hapa next time nitakuja na kitu kinachonifanya Niipende zaidi Jf .
Weka watu unaopenda aidha utani wao au chemistry waliyonayo.
Ukimuomba Mungu hivyo huo nao ni uthibitisho hayupo.Mwenyezi Mungu akuongoze katika njia sahihi.
#NimemalizaUkimuomba Mungu hivyo huo nao ni uthibitisho hayupo.
Angekuwapo angeniongoza tu na usingehitaji kumuomba.
Nakwambia hivi, ukishaona tu unamuomba Mungu, huo ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.#Nimemaliza
Huyu mwamba ni classmate wa kila mtu.Wapi furushi la jf Ushimen [emoji1787][emoji1787]
Hili furushi letu Ushimen ni mshikaji sanaaπHuyu mwamba ni classmate wa kila mtu.
Msiba wowote utakao tokea atakuja haraka sana R.I.P classmate..
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
The Stress Challenger nina wasiwasi wana undugu na MaghayoAccumen Mo
Maghayo
adriz Hawa watu wanafurahisha sana huyu ndugu Yao The Stress Challengerr ππakili yake ndo anaujua mwenyewe Huwa sisomi Kwa sauti maoni yake unaweza ukapata aibu mbele za watu ππ
πππHuu mwili ni WA muda mfupi mbinguni tutapewa mwingine mpya hebu tuwe tunakula vizuri ndugu zangu kwenda na mwili mzuri mbinguni hakuna maana πππππππhuwa anafurahisha sana.
cocastic yeye huwa ni mtu ambaye hajali ukisema vyovyote vile yeye hajali.
Ukimchunguza zaidi pia mbali na masuala ya upinde utamkuta unapotaka kuisema simbaππ
Kuna mdada anaitwa @Lamony yeue katika komenti zake tatu mbili lazima ziwe na emoji ya kucheka.
Kuna mdada anaitwa Aaliyyah yeue ukitaka kupata komenti yake ni mada za chakula, lazima utakumbana na komenti yake
Wanasapotiana sanaπThe Stress Challenger nina wasiwasi wana undugu na Maghayo
Maghayo alishashindikana hata sober hawamuwezi. Kuna haja ya kumuongezea pesa Accumen Mo aendelee kumuweka sawa mgalatia huyuπ€£π€£The Stress Challenger nina wasiwasi wana undugu na Maghayo
Kwa siku hakosi kutumia misokoto 5 ya bangiπMaghayo alishashindikana hata sober hawamuwezi. Kuna haja ya kumuongezea pesa Accumen Mo aendelee kumuweka sawa mgalatia huyuπ€£π€£
Kichaa The Stress Challengerr kapikwa na Maghayo katika harakati zake za kuanzisha kikundi kiovu humu Cha "The Ghayos Gang" ,akavuta bange zake na akaaunda ID mbadala za kufanikisha malengo ya kundi lake .Accumen Mo
Maghayo
adriz Hawa watu wanafurahisha sana huyu ndugu Yao The Stress Challengerr ππakili yake ndo anaujua mwenyewe Huwa sisomi Kwa sauti maoni yake unaweza ukapata aibu mbele za watu ππ
Niliwahi kuleta Uzi Wenye ushahidi wa wazi unaofichua kuwa Maghayo ndio The Stress Challengerr mods wakapita nao .The Stress Challenger nina wasiwasi wana undugu na Maghayo