OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kutapeliwa kuna husisha watu wawili tapeli na mtapeliwa (victim).
THE MIND OF A THIEF/ TAPELI
Mtu anaanzaje anzaje kuwa tapeli?
Hii inaanzia utotoni mtoto unampa kila kitu kisa unampenda unanyanganya watoto wenzake pipi unampa mtoto wako kisa ni wako, mtoto ana develop high ego (anaamini kila kitu ni chake hata cha wengine ni chake sababu yeye ni muhimu kuliko wengine) atatumia njia yeyote kukipata
Ukikuta mtoto anapiga wenzake na kupora vya wnzake au sahani la nyama kalikatalia yeye anazuia wenzake wasile wakibeba mnofu anawapokonya hapo jua kuna tapeli au jambazi au fisadi linatengenezwa.
Utapeli sio ugonjwa ni suala la malezi, malezi hujenga tabia na tabia hujenga mazoea na mazoea hujenga patern.
Kwakuliona hilo ndio maana serikali zote duniani zinaunga mkono dini, maana dini hutumika kama silaha ya kurekebisha tabia na kumjengea mtu hofu, kumpenda jirani au mtu yeyote kama unavyopenda nafsi yako, usiibe, usitamani kisicho chako.
UNAWEZAJE KUMBAINI MTU MWENYE VIASHIRIA VYA KITAPELI?
Simple tu, angalia kiasi chake cha ubinafsi kupitia matendo yake, mfano mpo kwenye harusibau semina mmepanga mstari mkachukue cjakula mpo watu 180 na chakula ni cha watu 180 ila kuna mtu aliyekula tayari anarudi tena kupanga mstari tena anajipachika mbele akachukue tena chakula (share ya mtu).
Matapeli smart kuwabaini ni ngumu ni mpaka uwe unajua mchezo mzima ulivyo. Wao hutumia njia mbali mbali kuteka hisia za mtu kama vile kutumia picha ya mwanamke mrembo mitandaoni kisha kuanzisha mahusiano na mlengwa, kukuhadaa kuhusu pesa au vitu.
MATAPELI WANAPATIKANA WAPI?
Matapeli wapo kila sehemu popote pale palipo na watu mfano sokoni, kazini, kwenye siasa, mtandaoni n.k
Ujio wa huduma za fedha mtandaoni umefanya utapeli upige hatua uwe wa kisasa na unaotumia akili zaidi, miaka ya nyuma watu waliuziana mbuzi kwenye gunia minadani, ila sasa utauziwa picha ya mbuzi mtandaoni.
Mshana Jr nisamehe kama nimeenda nje ya uzi wako nitaleta ushuhuda jinsi watu wanavyotapeliwa facebook