😂😂😂 wazo huwa linaniijia la hivi, yaani niibonyeze kiasi kwamba isiwe rahisi kuhisi kama hizo tarakim ni mwakaLabda aendelee kuibonyeza, ikifika mwisho wa dunia inaeza kuanza moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 wazo huwa linaniijia la hivi, yaani niibonyeze kiasi kwamba isiwe rahisi kuhisi kama hizo tarakim ni mwakaLabda aendelee kuibonyeza, ikifika mwisho wa dunia inaeza kuanza moja.
Anyway nikajifunza hakuna pesa rahisi hata siku moja na sasa hivi kutoa hrla yangu kizembe ni ngumu sana.Naona nimepata ruhusa yako.
Nilikuwa chuo bhana nikajibana bana wee hela ya kununua laptop nikatumbukiza AIM global..Leonardo anakuambia
"kwa mbili mbili kwa mbili mbili🤣🤣"
Nikaishia kubaki na zile kahawa zao nikasumbuka sana kuziuza 🤣🤣
Tena nakumbuka kuna jamaa alinikamata akasema mimi nauza bangi hadi kunikagua akaona magahawa ya kichina akanichimba biti 🤣🤣 ndio nikajua biashara kumbe inahitaji moyo hivi.
Anyway nikajifunza hakuna pesa rahisi hata siku moja na sasa hivi kutoa hrla yangu kizembe ni ngumu sana.
ALWAYS REMEMBER
"When it sounds too good to be true,then its definitely a LIE"
Ukiwa makini kupigwa ni ngumu na wakiikosea oda yako wanakurefund.. Wakigoma unawa reportSijawahi kupigwa, nilijifunza vitu mtandaoni hapa kupitia Mwl.RCT, nikaanza kununua AliExpress vitu vidogo kama Mswaki, Pen, vitu vidogo visivyozidi 20K, baada ya hapo hadi leo naagiza chochote from Alibaba, AliExpress na Amazon.
Kabisa Mkuu, mambo mageni haya, kujifunza na umakini tu.Ukiwa makini kupigwa ni ngumu na wakiikosea oda yako wanakurefund.. Wakigoma unawa report
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nikakuta mabegi ya watoto mazuri kwa muonekano sikusoma details za size siku vinafika ....vibegi vya mdoli😄🙉Niliagiza kiatu online,nikatumiwa kakiatu ka ajabu kama kile Cha kuvalisha midoli ya watoto,kibaya zaidi niliiongozana na mpenzi wangu kwenda ofisini kukipokea😭