DOKEZO Utapeli biashara mtandaoni: Shuhuda za watu waliowahi kupigwa na kujuta sana

DOKEZO Utapeli biashara mtandaoni: Shuhuda za watu waliowahi kupigwa na kujuta sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pete ya ndoa😭🀣
FB_IMG_1735439024946.jpg
 
Online business
Kikuu mtu anaagiza Baiskeli au pikipiki ya shilingi elfu 26750/- ikifika anaanza kulalama
Ila ukiangalia chini zaidi Kuna vipimo yaani dimensions za hicho unacho agiza. Unakuta Baiskeli ina 30cm πŸ˜€
FB_IMG_1735439008563.jpg
 
Niliagiza projector🀣🀣🀣🀣 kilichokuja ilibidi nimpe mtoto kama zawadi (toy ya birthday)
Uliagiza kupitia mtandao gani, hukusoma dimensions, urefu, upana, kimo ili kujiridhidha na ukubwa wake? Au ilikuwaje?
 
Nadhani vingine ni uelewa wetu mdogo. Online items zina vipimo, tena ni LAZIMA kuhakikisha vipimo/dimensions zake kabla ya kupress pay button.

Huko Ebay na Alibaba/Aliexpress sijawahi, huwa siwaelewi na bei zao naona ziko juu sana japo items zao zipo na ubora mkubwa. Ila kama Kikuu sijawahi pata shida, nasoma na kurudia, kama kifaa kina vipimo nahakiki kabisa. Hapa tu kuna projector nataka kuiagiza, bongo 950k, China 450k.
 
Online business
Kikuu mtu anaagiza Baiskeli au pikipiki ya shilingi elfu 26750/- ikifika anaanza kulalama
Ila ukiangalia chini zaidi Kuna vipimo yaani dimensions za hicho unacho agiza. Unakuta Baiskeli ina 30cm πŸ˜€
Hiyo bei pekee inabidi kujitafakari kwanza
 
Kaka mshana sisi wa "ukileta watu wawili kushoto kulia unapata kamisheni 120,000 na ndani ya mwaka unakuwa bilionea " tunaruhusiwa kukomenti? 🀣🀣🀣
 
Kaka mshana sisi wa "ukileta watu wawili kushoto kulia unapata kamisheni 120,000 na ndani ya mwaka unakuwa bilionea " tunaruhusiwa kukomenti? 🀣🀣🀣
🀣🀣🀣
 
  • Thanks
Reactions: apk
🀣🀣🀣
Naona nimepata ruhusa yako.
Nilikuwa chuo bhana nikajibana bana wee hela ya kununua laptop nikatumbukiza AIM global..Leonardo anakuambia
"kwa mbili mbili kwa mbili mbili🀣🀣"
Nikaishia kubaki na zile kahawa zao nikasumbuka sana kuziuza 🀣🀣
Tena nakumbuka kuna jamaa alinikamata akasema mimi nauza bangi hadi kunikagua akaona magahawa ya kichina akanichimba biti 🀣🀣 ndio nikajua biashara kumbe inahitaji moyo hivi.
Anyway nikajifunza hakuna pesa rahisi hata siku moja na sasa hivi kutoa hrla yangu kizembe ni ngumu sana.
ALWAYS REMEMBER
"When it sounds too good to be true,then its definitely a LIE"
 
Back
Top Bottom