DOKEZO Utapeli biashara mtandaoni: Shuhuda za watu waliowahi kupigwa na kujuta sana

DOKEZO Utapeli biashara mtandaoni: Shuhuda za watu waliowahi kupigwa na kujuta sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Jamaa angu aliagiza carpet kisa kaona picha ya carpet imetandikwa nyumba nzima, kitu kilichokuja kilikua kwenye bahasha ya A4 na ilikua ni zile tunaita kanyagio za mlangoni...ogopa sana watu vipimo wanakuandikia kwa MM ukiona 400 unajua kubwa kumbee kitu kizito
 
Ukikuta deal ni nzuri sanaaa au kuna kitu kinauzwa lakini ofa ya bei ni nzuri sana/ bei chini kuliko kawaida stuka.

Mfano ukutane na mtu ana iPhone halafu akwambie anauza 50k, bro stukaa(nje ya mada lakini.
Ndio humohumo.. Biashara za FB
 
Kibongo bongo nimeagiza saa. Kumbe saa yenyewe walikuwa wanaitumia kujifunzia kurekebisha mwaka wasijue mwaka haureverse, nimeletewa saa inasoma mwaka 2029🀣🀣🀣. Ukibonyeza kabaton ka mwaka inazidi kusonga mbele.

Kwa sisi wapenzi wa saa tayari hii inadosali, siwezi ivaa
View attachment 3187547
Iko mbele ya wakati miaka kadhaa mbele🀣
 
MsumenoπŸ˜‚
FB_IMG_1735439045507.jpg
 
Jamaa angu aliagiza carpet kisa kaona picha ya carpet imetandikwa nyumba nzima, kitu kilichokuja kilikua kwenye bahasha ya A4 na ilikua ni zile tunaita kanyagio za mlangoni...ogopa sana watu vipimo wanakuandikia kwa MM ukiona 400 unajua kubwa kumbee kitu kizito
Hahahaa, wakiambiwa wasome hesabu wao wanasema nitazitumia wapi maishani. Wengi wanapigwa kwenye vipimo.
 
Back
Top Bottom