DOKEZO Utapeli biashara mtandaoni: Shuhuda za watu waliowahi kupigwa na kujuta sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Anyway nikajifunza hakuna pesa rahisi hata siku moja na sasa hivi kutoa hrla yangu kizembe ni ngumu sana.
ALWAYS REMEMBER
"When it sounds too good to be true,then its definitely a LIE"πŸ˜€πŸ“ŒπŸ”¨
 
Reactions: apk
Huu uzi nimecheka kama fala mchana nilikua napata lunch mahali daa nusu ugali unipalie mpaka watu wanageuka aisee,

Mzee Baba Mshana Jr hizi idea za nyuzi hua unazitoa ukiwa unatafuna Majani ya Peru au?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu uzi nimecheka kama fala mchana nilikua napata lunch mahali daa nusu ugali unipalie mpaka watu wanageuka aisee,

Mzee Baba Mshana Jr hizi idea za nyuzi hua unazitoa ukiwa unatafuna Majani ya Peru au?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nikiwa nimemaliza ishu za kilingeni na chill na JF πŸ’ͺπŸΏπŸ˜‚
 
Sijawahi kupigwa, nilijifunza kununua vitu mtandaoni hapa kupitia Mwl.RCT, nikaanza kununua AliExpress vitu vidogo kama Mswaki, Pen, vitu vidogo visivyozidi 20K, baada ya hapo hadi leo naagiza chochote from Alibaba, AliExpress na Amazon.
 
Sijawahi kupigwa, nilijifunza vitu mtandaoni hapa kupitia Mwl.RCT, nikaanza kununua AliExpress vitu vidogo kama Mswaki, Pen, vitu vidogo visivyozidi 20K, baada ya hapo hadi leo naagiza chochote from Alibaba, AliExpress na Amazon.
Ukiwa makini kupigwa ni ngumu na wakiikosea oda yako wanakurefund.. Wakigoma unawa report
 
Niliagiza kiatu online,nikatumiwa kakiatu ka ajabu kama kile Cha kuvalisha midoli ya watoto,kibaya zaidi niliiongozana na mpenzi wangu kwenda ofisini kukipokea😭
🀣🀣🀣🀣🀣🀣Nikakuta mabegi ya watoto mazuri kwa muonekano sikusoma details za size siku vinafika ....vibegi vya mdoliπŸ˜„πŸ™‰
 
Ni pole nao sambamba leo, maana naona watu wanajichukulia tu mihela. Hii ni kweli au kuna watu wanapigwa za uso.. wanatoa task kila baada ya dkk 20 unaingiza buku. Group lina watu zaidi ya 1500 lakini walioruhusiwa kuchart ni 160 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…