Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Wazazi wa zamani wanampa maelekezo mwalimu , utasikia chapa sana hii ubakishe macho tuKuna mzazi Tanzania? Mmelea watoto kama mayai ya mjusi. Hawabebeki wala hawashikiki. Unajiita mzazi.
Niliwahi kupigwa na mwalimu shuleni. Nikarudi home nimejitwisha mkono umevimba. Nilipomwambia baba, alikata fimbo akaja kunicharaza. Alinambia mambo ya shuleni yanafikaje hapa? Kosa ufanye halafu ulalamikie adhabu.
Tangu siku ile sikuwahi kusema tena. Hao ndo walikuwa wazazi.
Nipo masomoni cute...Madam huna kipindi cha asubuhi?π€£π€£π€£π€£ Mi naenda kutoa exercise kwanza ndo nije nimchambe vizuriπ€£
Kamdomo kamdomo kamdomo πMbona makarisiko πππ
hao NETO nafikiri kiongozi wao ni yule aliepata alama 0.00 kwenye matokeo ya usailiItakuwa ndio wale NETO π na wengi wao ni wale ambao hawataki usaili π
All the best dear, mahafali utualike tuje tupige picha na joho.Nipo masomoni cute...
Kabisa, wakati wa usaili hawakuja na hizi kelele ila baada ya kunyooshwa ndo wanakuja kulialia.hao NETO nafikiri kiongozi wao ni yule aliepata alama 0.00 kwenye matokeo ya usaili
ππππΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈKamdomo kamdomo kamdomo π
Mambo yanabadilika mkuu bak na uzaman wako uje uuponze,n kwel zaman tulilelewa ivyo ila now utandawazi mwngi ivyo unaweza jikuta unaishia pabaya,kubal matokeoKuna mzazi Tanzania? Mmelea watoto kama mayai ya mjusi. Hawabebeki wala hawashikiki. Unajiita mzazi.