UTAPELI: Hayawi hayawi sasa yamekua: Tayari LBL kimewalamba

UTAPELI: Hayawi hayawi sasa yamekua: Tayari LBL kimewalamba

Walojiunga LBL wamepigwa rasmii...!!!! Mtandao ushafungwaa huko wameambiwa ili mtu afunguliwe inabidi aweke 280k tena.
 
1740460040954.jpg
Walimu walimu hakuna aliyewatuma kuingia kwenye LBL sasa msimalizie hasira kwa watoto wetu.....waharifuu wakubwa nyie
 
Hivi bila mwalimu ungeweza hata kuandika ulichoandika hapa kuwasagia waalimu? Heshimu waalimu maana bila wao ungebaki kuwa tabularasa
 
Piga stick alafu jerui ndo utajua wazaz wapoje
Kuna mzazi Tanzania? Mmelea watoto kama mayai ya mjusi. Hawabebeki wala hawashikiki. Unajiita mzazi.

Niliwahi kupigwa na mwalimu shuleni. Nikarudi home nimejitwisha mkono umevimba. Nilipomwambia baba, alikata fimbo akaja kunicharaza. Alinambia mambo ya shuleni yanafikaje hapa? Kosa ufanye halafu ulalamikie adhabu.

Tangu siku ile sikuwahi kusema tena. Hao ndo walikuwa wazazi.
 
Back
Top Bottom