UTAPELI: Hayawi hayawi sasa yamekua: Tayari LBL kimewalamba

Malipo yapo kwenye process,
mafundi wanarekebisha mitambo server zimezidiwa,
subirini Kila kitu kitakaa sawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani kabla ya kulizwa kauli hua ni hizihizi hazibadiriki
Msiwe na wasiwasi, sisi ndiyo wahusika.
Alisikika kibaraka wa LBL platform 😂
 
Kaka angu nae kaniambia hela ipo kwenye process 125,000 ila hela ya wiki iliyopita hajapewa ndo basi tena🤣
Wewe ndio utatuambia kama ataitoa akiitoa atoe zote, hawa wanaenda kuzima mitambo yao hata kalynda ilikuwa hivyo hivyo, mpaka watu walivyoenda ofisini kwao posta wakakuta mmoja wa viongozi alikuwa mchina na anaitwa john sasa kuna mchina anaitwa john au frank ? 😂😂😂😂😂 hawasikiagi hawa mpaka damu ziwatoke
 
Kaniambia kutoa zote haiwezekani🤣
Kila nikimuuliza maswali ananijibu kwa hasira! Mkali huyooo
 
Atakutandika makofi, siku walozima kalynda kesho yake nikawapigia simu kuwauliza vip, wakawa wakali kweli na nlivyoenda maskani yao kwa namna nlivyokuwa nawatania yani kidogo wanichangie wanipige ila ndio basi tena kalynda haikuwah kuwashwa mpaka leoo
 
Viongozi wao wanakamatwa saizi.

Wanakamata vidagaa tu saizi wakubwa watakua washasepa
Huwezi kuwakamata hata ufanye tracking ,server zinaweza kusoma south africa au USA ,huwapati ng'o wapo wabongo wako mbagala huko walianzisha pyramid wakapiga watu pesa.

Nchi kama Iran , Thailand wananchi wanapigwa sana ila ukikamatwa una'promote kesi yake ni hatari.
 
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.

Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.

Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.

Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.

Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Kuna mjingamjinga hapa ofisini kapigwa.. tulimsihi sana aachane na huo ujinga hakusikia.

Kesho namtukana..
😂😂😂
 
Huyu Nani tena..
IMG-20250220-WA0097.jpg
 
Kuna watu huko juu ni wanufaika wa kinachoendelea.
Kweli kabisa maana hata hii kamata kamata ya viongozi wa lbl ni mpango wao ili wapate sababu ya kusema wapo kwenye matatizo na akaunt zao zimeshikiliwa na polisi kumbe lengo lao ni kukimbia na pesa za watu
 
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.

Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.

Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.

Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.

Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Leo hii tawi lao la Morogoro limefungwa na wahusika kukamatwa kwa kuendesha michezo ya kutapeli. Mkuu wa Polisi Mkoani hapo amewaasa wananchi kujiepusha na michezo hiyo kwa tamaa ya kupata mali na utajiri. Vyote hivyo haviji kwa kutegemea michezo hiyo bali kwa kufanya kazi na kuvuja jasho.
 
Anasema wiki iliyoisha alitaka kutoa ikakataa, jana wameambiwa level 3 wakatoe leo.
Ni mapema kuwa&mashaka,naamini hajatapeliwa,ni hivi;
Kama aliweka laki 5.4 atakuwa level P3.
Utaratibu wa kutoa pesa kwa P3, ni kila Alhamisi.
Na kiwango cha kutoa ni 8k, 24k, 125k,540k na kuendelea.
Kuanzia 19 February,LBL ilitiliwa shaka&serikali na hivyo utoaji pesa ulisitishwa kuanzia 20/02 hadi 25/02
Baada ya hapo, LBL itakuwa imekamilisha matakwa yote ya kiserikali, hivyo huduma za kutoa pesa zitaendelea,bila limits za viwango.
Hii ni kwa mujibu wa kikao cha
LBL&Wachama wake.
Mwambie ahudhurie vikao.
 
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.

Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.

Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.

Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.

Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hauwezi kumlaumu sana.

Sasa sijui dj awasindikize wana-LBL kwa wimbo Gani ili usiwe vurugu humu ndani, maana mtu mpumbavu upumvavu wake unapodhiirika hua anakua mbogo

View attachment 3243238
unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.
 
Back
Top Bottom