Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.
Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.
Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.
Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana