Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mimi Huwa nailaumi tu Serikali Kwa maujinga yote haya.
Na niwazi, Serikali inahusika Kwa namna Moja au nyingine.
Na niwazi, Serikali inahusika Kwa namna Moja au nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa iyo unamaanisha wajinga ndio waliwao, si ndio😂😂Alafu watu wa LbL wote wana kauli moja ukimwambia kaka noma huko utasikia " TUNAPIGA HELA BALAA, AU MTAJI WANGU USHARUDI NAPIGA FAIDA TU" mamaqe inaingia akilini utumie vijivideo ukitazama ulipwe🤣🤣🤣
Hukuwah kusikia kisa Cha Mchina na MapakaWalionza mwanzo ni kweli walifanikiwa kurudisha mtaji na wakaendelea kula faida. Hawa jamaa walikuwa na timing wakiingia wengine wanafunika kombe
Acha kufuatilia yasiyokuhusuNiliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.
Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.
Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.
Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Thibitisha
Hadi taarifa ikufikie unakuwa wewe ndio pesaHata mimi ikianzishwa nyingine taarifa zikinifiakia mapema sana Najiunga maana najua mimi sitapigwa.
Na wewe ni mmoja wao, aise nyie ni wajinga sanaAcha kufuatilia yasiyokuhusu
🤣🤣Hao matapeli ni ccm ndiyo sababu