UTAPELI: Hayawi hayawi sasa yamekua: Tayari LBL kimewalamba

Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.

Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.

Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.

Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.

Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
 
Tupe connection tujiunge nasisi kitapeli.
 
Na ndio maana chukuwachakomapema mapema wanatupatia!
Simba na Yanga.....
Vikofia, khanga, mashati, pilau, vi alfu kumi, rushwa, uchawa usio kifani!
Masherehe, kusifiana kukicha, nk nk
Huku nyuma wanauza rasilimali na maliasili KIULAINI!
Wanapiga hela za mlipa kodi bila wasiwasi, kifupi nakubaliana nawe, siye WADANGANYIKA NI MAITI!
 
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.

Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.

Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.

Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.

Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Soma hiyo
 
Attachments

  • IMG-20250216-WA0001.jpg
    IMG-20250216-WA0001.jpg
    66.3 KB · Views: 2
WATU BDO WANAENDELEA KUVUTA MPUNGA HYO TAARIFA YA UONGO UMEPATA WAPI? ACHENI WIVU
 
Wajinga wengi sana
Na ukitaka upige hela wekeza kwa wajinga...maana wako wengi sana
Unajiokotea tu

Ova
 
Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.

Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.

Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.

Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.

Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Siku CCM ikiondolewa madarakani ujue hao watanzania walio wengi wana akili!
 
Alafu watu wa LbL wote wana kauli moja ukimwambia kaka noma huko utasikia " TUNAPIGA HELA BALAA, AU MTAJI WANGU USHARUDI NAPIGA FAIDA TU" mamaqe inaingia akilini utumie vijivideo ukitazama ulipwe🤣🤣🤣
Afrika ni tatizo sana , unamuingiza mtu unapata commission ya 10% unasema eti unapiga hela ni ujinga . Haya ndio hupelekea watu kuuza waafrika wenzao
 
Back
Top Bottom