njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Sometime ni ku risk tu, nilivunavuna ilikuwa bado kama laki na ishirini hv niirudishe so watakuwa wameniwahi kidogoParefu Ungewawekea noti bandia kama Id yako Sasa hivi ungekuwa huna wasiwasi😂
Walionza mwanzo ni kweli walifanikiwa kurudisha mtaji na wakaendelea kula faida. Hawa jamaa walikuwa na timing wakiingia wengine wanafunika kombeAlafu watu wa LbL wote wana kauli moja ukimwambia kaka noma huko utasikia " TUNAPIGA HELA BALAA, AU MTAJI WANGU USHARUDI NAPIGA FAIDA TU" mamaqe inaingia akilini utumie vijivideo ukitazama ulipwe🤣🤣🤣
Haiingii hata ikipakwa mateAlafu watu wa LbL wote wana kauli moja ukimwambia kaka noma huko utasikia " TUNAPIGA HELA BALAA, AU MTAJI WANGU USHARUDI NAPIGA FAIDA TU" mamaqe inaingia akilini utumie vijivideo ukitazama ulipwe🤣🤣🤣
Hakuna hela za download mzee hela ufanye kazi mkuuNgoja kesho ni withdraw ikifeli ndio nitaamini
Hata mimi ikianzishwa nyingine taarifa zikinifiakia mapema sana Najiunga maana najua mimi sitapigwa.Wabongo ni wabishi sana ikianzishwa nyingine lazima wataunga tela.
Kwanini unaamini hautapigwa.?Hata mimi ikianzishwa nyingine taarifa zikinifiakia mapema sana Najiunga maana najua mimi sitapigwa.
Cc mrangi kuja faster usome huku wabongo hawasikiiNiliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.
Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.
Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.
Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Classmate kwema?Usiku mwema
Hao matapeli ni ccm ndiyo sababuNiliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.
Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.
Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.
Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Lbl wamekuwahi Nini?Usiku mwema
Wewe unachokujua ni kipi ?! Ilikua p ngapi p4 au ?!Unaandika usichokijua
Hahaha tayari withdrawal haiko mburula wakubwa wajinga nyieNgoja kesho ni withdraw ikifeli ndio nitaamini