Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

Big up jamaa.Huyo waziri ni bonge la kilaza na fala.Utatoaje kirahisi hivyo? Si ajabu "tozo" za miamala ilipitishwa kizembe zembe. Ma ccm hayana akili!
 
Huo ndiyo utapeli wa maana.

Huyo waziri maye mduwanzi, katoa mchango ambayo ni sadaka halafu anaifuatilia!

Mtu umempa chakula cha hisani kisha unaanza kumhesabia matonge, waziri kafanya siyo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anyway!.

Kama waziri wa Ulinzi anatapeliwa kirahisi hivi, basi wajinga hawatokaa wamalizike.

Imagine ndiye anaingia dili ya manunuzi ya Vifaa vya kijeshi. Na akutane na mitapeli iliyobobea, mama yangu tunaingizwa cha kike.

Aisee!.
Nilitaka kusema hivi hivi hilo tapeli LA kichaga kwa namna nyingine limeumbua uwezo wa Mawaziri wetu.
 
Kama waziri wa walinzi anatapeliwa hivi kweli tuko pabaya ... naomba tu iwe fake news
 
Massawe katisha Waziri anawezaje kutapeliwa kirahisi hivyo? Yan hamjui katibu Mkuu wa Chama chake?
Hili ndo swala la kujiukiza eti ni uwazari wa ulinzi je alivyokuwa anatuma kwa hiyo hakuona sio Jina la katibu mkuu wa ccm
 
Anyway!.

Kama waziri wa Ulinzi anatapeliwa kirahisi hivi, basi wajinga hawatokaa wamalizike.

Imagine ndiye anaingia dili ya manunuzi ya Vifaa vya kijeshi. Na akutane na mitapeli iliyobobea, mama yangu tunaingizwa cha kike.

Aisee!.
[emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…