Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji,
Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha yasonge mbele,
Unalipa ada milioni 5 au 10 halafu product ndani ya miaka 20 mbele ndio unajua ulipigwa,
Mzazi fanya saving ya mtoto, msomeshe shule za wastani tu, halafu baadae mkimbize kwenye fani ajipatie ujuzi utamsaidia mbele ya safari,
Hivi vingereza vingi wanavotuongelea hawa watoto haviwezi kuwakomboa kifikra zaidi ya kujua majina ya movies na aina mbalimbali za games kwenye simu, computer na the like,
Ile pesa ya ada kubwa, nenda kanunue shamba, mpandie miti ya mbao akikua atakuta miti au mifugo atapata pa kuanzia, kwenye maisha, hiyo ndio siri unaona waliosoma darasa la saba hadi form four sio waoga wa maisha, wengine tunastuka mtoto miaka 23 hajiwezi Kwa lolote kama hili zezeta langu hapa yaani anawaza aajiriwe tu hadi inatia hasira, nimepata hasara kubwa basi tu, ningejua mapema haya yasingenikuta.