proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Elimu ni ufunguo wa maisha ila ufunguo wameshika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha mi muhimu.Kwenye suala la lugha ni muhimu kuliko unavyofikiri labda kama mnataka kubaki kuwa local.
Kukubaliana Elimu ni ya umma si bila kujali masikini au tajiri tuje na sera universal juu ya watoto Wetu,
Hi unakumbuka dk alichana mtu mguu badala ya kichwa hapo muhimbili hii inatokana na dhana mbovu ya ubaguzi wa elimu
Kuna wakati aliyesoma kayumba na aliyesoma feza wote wanahudumia jamii
Tukubaliane kama taifa tuje na sera ya elimu universal ambayo itatoa wataalamu competent wanohitajka kwenye jamii
Naunga mkono hoja hii.Kukubaliana Elimu ni ya umma si bila kujali masikini au tajiri tuje na sera universal juu ya watoto Wetu,
Hi unakumbuka dk alichana mtu mguu badala ya kichwa hapo muhimbili hii inatokana na dhana mbovu ya ubaguzi wa elimu
Kuna wakati aliyesoma kayumba na aliyesoma feza wote wanahudumia jamii
Tukubaliane kama taifa tuje na sera ya elimu universal ambayo itatoa wataalamu competent wanohitajka kwenye jamii
"LET US THINK OF EDUCATION AS THE MEANS OF DEVELOPING OUR GREATEST ABILITIES, BECAUSE IN EACH OF US THERE IS A PRIVATE HOPE AND DREAM WHICH FULFILLED CAN BE TRANSLATED INTO BENEFIT FOR EVERYONE AND GREATER STRENGTH FOR OUR NATION. ONE PERSON CAN MAKE A DIFFERENCE AND EVERYONE SHOULD TRY." JF kennedyWazazi wengi wanaamini Elimu ndio mafanikio!
Wanaishia kukopa na madeni Makubwa wakiamini kusomesha shule za bei kubwa ni ufahari pia.
Wakati analipa hizo hela Yuko 50's sasa Kijana amemaliza chuo Yuko 60's kuelekea 70's hela hana tenaKama MTU anaweza kulipa Ada ya mil 05-10 kwa mwaka huyu MTU usitegemee akakosa mtaji wa kumfungulia kijana wake biashara.
Unafikiri kosa lake au lako ? Ujinga wake au wako ?Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji,
Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha yasonge mbele,
Unalipa ada milioni 5 au 10 halafu product ndani ya miaka 20 mbele ndio unajua ulipigwa,
Mzazi fanya saving ya mtoto, msomeshe shule za wastani tu, halafu baadae mkimbize kwenye fani ajipatie ujuzi utamsaidia mbele ya safari,
Hivi vingereza vingi wanavotuongelea hawa watoto haviwezi kuwakomboa kifikra zaidi ya kujua majina ya movies na aina mbalimbali za games kwenye simu, computer na the like,
Ile pesa ya ada kubwa, nenda kanunue shamba, mpandie miti ya mbao akikua atakuta miti au mifugo atapata pa kuanzia, kwenye maisha, hiyo ndio siri unaona waliosoma darasa la saba hadi form four sio waoga wa maisha, wengine tunastuka mtoto miaka 23 hajiwezi Kwa lolote kama hili zezeta langu hapa yaani anawaza aajiriwe tu hadi inatia hasira, nimepata hasara kubwa basi tu, ningejua mapema haya yasingenikuta.
Unafurahisha hufahamu unacho zungumza.Kama MTU anaweza kulipa Ada ya mil 05-10 kwa mwaka huyu MTU usitegemee akakosa mtaji wa kumfungulia kijana wake biashara.
Zezeta lako la kiume au la kike😂😂😂😂Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji,
Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha yasonge mbele,
Unalipa ada milioni 5 au 10 halafu product ndani ya miaka 20 mbele ndio unajua ulipigwa,
Mzazi fanya saving ya mtoto, msomeshe shule za wastani tu, halafu baadae mkimbize kwenye fani ajipatie ujuzi utamsaidia mbele ya safari,
Hivi vingereza vingi wanavotuongelea hawa watoto haviwezi kuwakomboa kifikra zaidi ya kujua majina ya movies na aina mbalimbali za games kwenye simu, computer na the like,
Ile pesa ya ada kubwa, nenda kanunue shamba, mpandie miti ya mbao akikua atakuta miti au mifugo atapata pa kuanzia, kwenye maisha, hiyo ndio siri unaona waliosoma darasa la saba hadi form four sio waoga wa maisha, wengine tunastuka mtoto miaka 23 hajiwezi Kwa lolote kama hili zezeta langu hapa yaani anawaza aajiriwe tu hadi inatia hasira, nimepata hasara kubwa basi tu, ningejua mapema haya yasingenikuta.
Ohoo! Dady 🤣🤣🤣 ss secondary walikuwa wanatukmbza kwenye languages kuja uku kwenye hesbu za why 4x =8 fnd y=2Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji,
Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha yasonge mbele,
Unalipa ada milioni 5 au 10 halafu product ndani ya miaka 20 mbele ndio unajua ulipigwa,
Mzazi fanya saving ya mtoto, msomeshe shule za wastani tu, halafu baadae mkimbize kwenye fani ajipatie ujuzi utamsaidia mbele ya safari,
Hivi vingereza vingi wanavotuongelea hawa watoto haviwezi kuwakomboa kifikra zaidi ya kujua majina ya movies na aina mbalimbali za games kwenye simu, computer na the like,
Ile pesa ya ada kubwa, nenda kanunue shamba, mpandie miti ya mbao akikua atakuta miti au mifugo atapata pa kuanzia, kwenye maisha, hiyo ndio siri unaona waliosoma darasa la saba hadi form four sio waoga wa maisha, wengine tunastuka mtoto miaka 23 hajiwezi Kwa lolote kama hili zezeta langu hapa yaani anawaza aajiriwe tu hadi inatia hasira, nimepata hasara kubwa basi tu, ningejua mapema haya yasingenikuta.
Duniani hesabu muhimu ni kujumlisha, kutoa, kugawana, na kuzidisha, progression, probability, simultaneous, unaweza kufa hujakutana nazo kwenye husle zako zoteOhoo! Dady 🤣🤣🤣 ss secondary walikuwa wanatukmbza kwenye languages kuja uku kwenye hesbu za why 4x =8 fnd y=2
Unalipa 3M mtoto akasome a e I o u?Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji,
Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha yasonge mbele,
Unalipa ada milioni 5 au 10 halafu product ndani ya miaka 20 mbele ndio unajua ulipigwa,
Mzazi fanya saving ya mtoto, msomeshe shule za wastani tu, halafu baadae mkimbize kwenye fani ajipatie ujuzi utamsaidia mbele ya safari,
Hivi vingereza vingi wanavotuongelea hawa watoto haviwezi kuwakomboa kifikra zaidi ya kujua majina ya movies na aina mbalimbali za games kwenye simu, computer na the like,
Ile pesa ya ada kubwa, nenda kanunue shamba, mpandie miti ya mbao akikua atakuta miti au mifugo atapata pa kuanzia, kwenye maisha, hiyo ndio siri unaona waliosoma darasa la saba hadi form four sio waoga wa maisha, wengine tunastuka mtoto miaka 23 hajiwezi Kwa lolote kama hili zezeta langu hapa yaani anawaza aajiriwe tu hadi inatia hasira, nimepata hasara kubwa basi tu, ningejua mapema haya yasingenikuta.
Nikiwa advance hawa wa magari ya njano walikuwa wanaongea kinge ila kwenye physics anakuombea umfundishe cha ajabu ukimuekezea kwa kiswahili anashindwa kuyaweka kwenye kingereza wakati cha kuongea kawaida anakijuaOhoo! Dady 🤣🤣🤣 ss secondary walikuwa wanatukmbza kwenye languages kuja uku kwenye hesbu za why 4x =8 fnd y=2