Utapeli Pari match bet

Nitafatilia ndugu. Coz mimi nimewah kula pesa premier bet kwa account 2 tofauti na pesa ikaingia kote. Nashangaa hawa kutafuta sababu wakat pesa wanapoke Na mikeka inachanika hawaulizi acount 2
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafatilia ndugu. Coz mimi nimewah kula pesa premier bet kwa account 2 tofauti na pesa ikaingia kote. Nashangaa hawa kutafuta sababu wakat pesa wanapoke Na mikeka inachanika hawaulizi acount 2

Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni nyingine hizi hazina maana mimi meridianbet nilikosea namba katika kudeposit mpunga pesa ikaingia kwa mtu mwingine napiga simu wananiambia hawawez kuirejesha, sasa nikawaambia nyie ni kampuni gani pesa ya mteja haina ulinzi toka siku hyo hawajaniona mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikwel ndugu nivizur kupiga kelele kwa haya makampun mapya yanayoonekana yakitapeli watu wasiyatumie kama wanataka kula ila kuliwa hawataki bora tuendelee nawakongwe tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh pole sana... Hiyo pesa kuipata majaliwa
Jr[emoji769]
 
Hizi kampuni ambazo hazina mitaji ya kutosha lazima wakufanyie figusu mi kampuni zangu pendwa za mda wote ni meridian, premier bet na hawa sport pesa.
 
Nakipindi pia wanakula pesa za jamaa aki loose bet walikuwa wanarudishia pesa? Hizi kampuni mpya zinazoibuka si za kukimbilia. Mwaka 9 huu nipo na meridian bet yangu ya mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…