Utapeli Pari match bet

Utapeli Pari match bet

Nitafatilia ndugu. Coz mimi nimewah kula pesa premier bet kwa account 2 tofauti na pesa ikaingia kote. Nashangaa hawa kutafuta sababu wakat pesa wanapoke Na mikeka inachanika hawaulizi acount 2
Wakomalie na wakulipe, km walijua una akaunti mbili kwanini wakati unadeposit mpunga walipokea, na iweje wakuruhusu mikeka ikubali, na hyo akaunti nyingine ina msaada gani kwako latika kubet huo mkeka uliokula.. Haya makampuni mengine haya usungura usungura tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyoo... uliweka ngapi hadi ukawapiga pesa yote hiyo?? Pambana aisee hadi walipe mpunga wako...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Niliweka tim7 ndugu nikaweka 50 nikapiga 6milns
Screenshot_20190206-215010.jpeg
Screenshot_20190206-215032.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafatilia ndugu. Coz mimi nimewah kula pesa premier bet kwa account 2 tofauti na pesa ikaingia kote. Nashangaa hawa kutafuta sababu wakat pesa wanapoke Na mikeka inachanika hawaulizi acount 2

Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni nyingine hizi hazina maana mimi meridianbet nilikosea namba katika kudeposit mpunga pesa ikaingia kwa mtu mwingine napiga simu wananiambia hawawez kuirejesha, sasa nikawaambia nyie ni kampuni gani pesa ya mteja haina ulinzi toka siku hyo hawajaniona mpaka leo.

Nikwel ndugu nivizur kupiga kelele kwa haya makampun mapya yanayoonekana yakitapeli watu wasiyatumie kama wanataka kula ila kuliwa hawataki bora tuendelee nawakongwe tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh pole sana... Hiyo pesa kuipata majaliwa
Wana JamiiForums

Nimebeti na kampuni ya pari matchi. Nimewala pesa zaidi ya Milioni 3 lakini inakaribia mwezi sasa hawajanitumia pesa yangu na nimejaribu kuwatafuta maranyingi wakaanza kuniuliza niwatumie vitambulisho,niwapigie picha na mambo mengi, jibu walilonipa mwisho ni kwamba eti wamechunguza wameona ninaacount zaid ya moja, nashindwa kuwaelewa mwenye kujua kuhusu mambo haya vizuri anisaidie ushauri

View attachment 1015137

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Hizi kampuni ambazo hazina mitaji ya kutosha lazima wakufanyie figusu mi kampuni zangu pendwa za mda wote ni meridian, premier bet na hawa sport pesa.
 
Wakomalie na wakulipe, km walijua una akaunti mbili kwanini wakati unadeposit mpunga walipokea, na iweje wakuruhusu mikeka ikubali, na hyo akaunti nyingine ina msaada gani kwako latika kubet huo mkeka uliokula.. Haya makampuni mengine haya usungura usungura tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakipindi pia wanakula pesa za jamaa aki loose bet walikuwa wanarudishia pesa? Hizi kampuni mpya zinazoibuka si za kukimbilia. Mwaka 9 huu nipo na meridian bet yangu ya mzungu
 
Back
Top Bottom