Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Nenda Kwenye Bodi Ya Bahati Na Sibu Ukaonane Na Abas Tarimba Nakuhakikishia Kesho Tu Wanakulipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakomalie na wakulipe, km walijua una akaunti mbili kwanini wakati unadeposit mpunga walipokea, na iweje wakuruhusu mikeka ikubali, na hyo akaunti nyingine ina msaada gani kwako latika kubet huo mkeka uliokula.. Haya makampuni mengine haya usungura usungura tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliweka tim7 ndugu nikaweka 50 nikapiga 6milnsOyoo... uliweka ngapi hadi ukawapiga pesa yote hiyo?? Pambana aisee hadi walipe mpunga wako...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kampuni nyingine hizi hazina maana mimi meridianbet nilikosea namba katika kudeposit mpunga pesa ikaingia kwa mtu mwingine napiga simu wananiambia hawawez kuirejesha, sasa nikawaambia nyie ni kampuni gani pesa ya mteja haina ulinzi toka siku hyo hawajaniona mpaka leo.Nitafatilia ndugu. Coz mimi nimewah kula pesa premier bet kwa account 2 tofauti na pesa ikaingia kote. Nashangaa hawa kutafuta sababu wakat pesa wanapoke Na mikeka inachanika hawaulizi acount 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikwel ndugu nivizur kupiga kelele kwa haya makampun mapya yanayoonekana yakitapeli watu wasiyatumie kama wanataka kula ila kuliwa hawataki bora tuendelee nawakongwe tuuKampuni nyingine hizi hazina maana mimi meridianbet nilikosea namba katika kudeposit mpunga pesa ikaingia kwa mtu mwingine napiga simu wananiambia hawawez kuirejesha, sasa nikawaambia nyie ni kampuni gani pesa ya mteja haina ulinzi toka siku hyo hawajaniona mpaka leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikiwa usisahau kuleta mrejeshoSawa sawa mkuu nitalifanyia kazi pamoja nakuwa nipo arusha naomba unisaidie utaratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikiwa usisahau kuleta mrejesho
Makampuni mengi ni janja janja yanataka kupingana na kauli ya mstaafu J.K, "kama unataka kula lazima ukubali kuliwa"Nikwel ndugu nivizur kupiga kelele kwa haya makampun mapya yanayoonekana yakitapeli watu wasiyatumie kama wanataka kula ila kuliwa hawataki bora tuendelee nawakongwe tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JamiiForums
Nimebeti na kampuni ya pari matchi. Nimewala pesa zaidi ya Milioni 3 lakini inakaribia mwezi sasa hawajanitumia pesa yangu na nimejaribu kuwatafuta maranyingi wakaanza kuniuliza niwatumie vitambulisho,niwapigie picha na mambo mengi, jibu walilonipa mwisho ni kwamba eti wamechunguza wameona ninaacount zaid ya moja, nashindwa kuwaelewa mwenye kujua kuhusu mambo haya vizuri anisaidie ushauri
View attachment 1015137
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakipindi pia wanakula pesa za jamaa aki loose bet walikuwa wanarudishia pesa? Hizi kampuni mpya zinazoibuka si za kukimbilia. Mwaka 9 huu nipo na meridian bet yangu ya mzunguWakomalie na wakulipe, km walijua una akaunti mbili kwanini wakati unadeposit mpunga walipokea, na iweje wakuruhusu mikeka ikubali, na hyo akaunti nyingine ina msaada gani kwako latika kubet huo mkeka uliokula.. Haya makampuni mengine haya usungura usungura tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona tena milion sita mbona sikuelewiNiliweka tim7 ndugu nikaweka 50 nikapiga 6milns View attachment 1015260View attachment 1015261
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakipindi pia wanakula pesa za jamaa aki loose bet walikuwa wanarudishia pesa? Hizi kampuni mpya zinazoibuka si za kukimbilia. Mwaka 9 huu nipo na meridian bet yangu ya mzungu
ku m [emoji814]m[emoji814]kE yaani hiyo ela ingekuwa yangu sasa hivi kasafilw[emoji814] person
Nilivurugwa kaka ni mil6 pale inaonekana 3 coz ilikuwa nimeshajaribu kutoa 3 ndo ikawa pendin had leo
Kwa hiyo ulifanikiwa kutoa mil 3 ya kwanza?Nilivurugwa kaka ni mil6 pale inaonekana 3 coz ilikuwa nimeshajaribu kutoa 3 ndo ikawa pendin had leo
Sent using Jamii Forums mobile app