Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Sahihi!!Kosa la mwenye cafe. Au anashirikiana na tapeli au kuna wahudumu wanashirikiana naye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi!!Kosa la mwenye cafe. Au anashirikiana na tapeli au kuna wahudumu wanashirikiana naye.
Alitaja hela ya kawaida 25k ili nisi stukeTapeli mshamba kabisa huyo,Hana mtaji
Plan zake nazani kila mtu akituma iyo 25,000 kwa watu wa3...75000... Fund umem, bomba, Kuchomelea bado hatujui na wengine uko,...Utapeli wa kimaporini sana , sijui washamba wengi mjini siku hizi
yaani fujo yote hiyo ni kuchukua 25,000
Utapeli mjini unafanya kisiwe na utu wala kuaminiana kabisaHii wanaitumia wasichana kuwubia simu mavwege. Anakuomba aongee na mama yake, ukizubaa anatokomea kusikojulina na kukuachia chakula Cha watu wawili.
huyo tapeli bado hajaiva, alitakiwa akuite mpaka saiti, ukifika ajidai yupo bize na simu muda wooote.
Ikikata hii inaingia nyingine, halafu ghafra anakuomba simu yako, anataka kumpigia mtu, akitoka hapo anaenda kwa fundi umeme napo anaachukua simu kwa maelezo yale yale kisha anamalizia kwa fundi bomba.
Akimaliza huyoooo anatokomea
Afu sauti ya kibaba kabisa.. Makamu ya miaka 50 Hiv Daah aiseeMatapeli sasa hivi wamewageukia mafundi kutaka kuwatapeli. Kosa wanalofanya ni kuomba fundi atume hela ili pikipiki ijazwe mafuta ije imchukue impeleke saiti hela atarudishiwa hukohuko saiti. Mbaya zaidi fundi na huyo tapeli hawajuani
Aina hii ya wizi, bodaboda nao wamepigwa sana. Anabebeshwa vitu vya kununua kwenye maduka, halafu mwisho wa siku anaambiwa atume na hela! Na biashara inaishia hapo.Mama lishe hawajaachwa nyuma nimeona mama lishe wawili wamepikishwa chakula lundo sahani kama 50 hivi Kisha wakaambiwa kuleta shule
Wahusika huangalia kama shule Kuna ka shughuli flani known basi wanawaambie leta chakula shule
Mda mfupi akiwa anakaribia kuja wanamwambia tuma kiasi kadhaa tununue umeme hapa ukija tunakupa hela Yako
Wa kwanza alituma 100000 wa pili 15000 na wote wakaja wakaganda na sahani zao hadi tulipotoka na kuwashangaa nao wakatushangaa
Manina washenzi wanaroho ngumu.Mama lishe hawajaachwa nyuma nimeona mama lishe wawili wamepikishwa chakula lundo sahani kama 50 hivi Kisha wakaambiwa kuleta shule
Wahusika huangalia kama shule Kuna ka shughuli flani known basi wanawaambie leta chakula shule
Mda mfupi akiwa anakaribia kuja wanamwambia tuma kiasi kadhaa tununue umeme hapa ukija tunakupa hela Yako
Wa kwanza alituma 100000 wa pili 15000 na wote wakaja wakaganda na sahani zao hadi tulipotoka na kuwashangaa nao wakatushangaa
Kosa la mwenye cafe. Au anashirikiana na tapeli au kuna wahudumu wanashirikiana naye.
😁😁Tapeli mshamba kabisa huyo,Hana mtaji
Ahaaahuyo tapeli bado hajaiva, alitakiwa akuite mpaka saiti, ukifika ajidai yupo bize na simu muda wooote.
Ikikata hii inaingia nyingine, halafu ghafra anakuomba simu yako, anataka kumpigia mtu ya kwake salio limekata
akitoka hapo anaenda kwa fundi umeme napo anachukua simu kwa maelezo yale yale kisha anamalizia kwa fundi bomba.
Akimaliza huyoooo anatokomea
Afu sijui wanapeana mbinu hii Mimi alisema eti mafuta ya Piki Piki 25000Mi niliambiwa niende kasanga( Morogoro)kupima kazi ya tiles, kabla ya kwenda boss akanambia anaingia ofisin kwahiyo akanipa namba ya mtu alieko site.
Namchek mshkaj anasema ayaaa nimetoka niko mikese afu gar haina mafuta kwahiyo nimtumie hela ya mafuta afu boss akitoka kwenye kikao ofisin atanilipa.
Akaanza oooh unajua fundi piga hesaab vizur afu uweke cha juu apo tugawane boss hana shida namjua sana kwenye ile site mafundi walijenga wamepiga hela kinoma yan.
Kumbe matapeli bwana nashukuru sikuwatumiaga iyo hela.
Angesema elfu 5 ivi ningetuma mana ningejua nauli, asa mi fundi nkutumie hela ya mafuta lita 7 kwan unaenda dar